Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Amemaliza form 4 mwaka 2010 na form 6 mwaka 2013 tokeo la form 4 alipata div3- 25 la form 6 div 4-19 ya S-2 Chem/Bios
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Amemaliza form 4 mwaka 2010 na form 6 mwaka 2013 tokeo la form 4 alipata div3- 25 la form 6 div 4-19 ya S-2 Chem/Bios
0 Reactions
3 Replies
791 Views
Sifuri zatawala kidato cha nne Share bookmark Print Email Rating “Hawa wa mwaka juzi (2012) D ilikuwa ni kuanzia alama 35...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi, Kumbe kitendo cha kugomea divistion V ndio imeletwa katika sura tofauti. Hivi tunaipelekawapi elimu yetu jamani? Ukifuatilia mgawanyo wa Grades utagundua hii ni janja janja na ufaulu...
2 Reactions
146 Replies
40K Views
  • Closed
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013 yaweza kutumika kama uthibitisho mwingine wa nguvu ya kanisa katoriki nchini Tanzania. Hizi ndizo shule 10 bora:- 1. St.Francis Girls (Mbeya)...
0 Reactions
209 Replies
23K Views
Samahanii jamni kutokana na mfumo mpya sijajua kama hapa combination yenye history yakubalika! Nimepata History E. Geography C. Civics D. English C. Math F. Literature E. Kiswahili B. Biology D...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kwa habari zaidi ebu chek hapa........"feza girls" aaibisha kwa kuibuka na division iv pekee huku wengine waking'ara vema........ http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Heko kwako mdau, nilikua naomba kwa anayejua proses nzima kwa liyefaulu kuendelea na kidato cha tano ni hatua zipi zinafanyika jee kuna barua yeyote labda mhusika huletewa ili kujulishwa shule...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ada ya shule rosmini ni sh ngap? na wanayo combination ya ECA? kwa anayejua anifahamishe tafadhali. nina mwanangu ana A ya Commerce na A ya B/keeping na anapenda sana hiyo shule. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
12 Replies
16K Views
Wanajamvi naomba anaye fahamu grade za haya matokeo ani fahamishe. Yaani mipaka ya A+, A, B+, B, C, D, E na F. Nawasilisha
1 Reactions
32 Replies
13K Views
Wale alioapply kwenye chuo hichi vipi kuna jipya au wameshaanza kuita watu kwenye usaili au? Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Private school owners express doubts Second selection now set for March 1 Prof Eustella Bhalalusesa, Ministry of Education and Vocational Training Commissioner of Education Pupils not...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI Mdogo wangu hajafanikiwa amepata ufaulu wa div 4 point 37 na amekosa somo mawili la english na history hivyo tunatafuta kituo ambacho kiko karibu kwa hapa dar ili niweze kumlipia tena...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataka kujiendeleza kielimu lakini sijui nisomee fani gani ambayo ina soko la ajira la uhakika? Binafsi nimefanya QT 2010, na nikachukua Foundation course pale Open University kwa ajili ya kusomea...
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Serikali ya Tanzania mda mwingine inashindwa kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha sekta ya elimu. Hatua ya serikali kuongeza daraja E katika matokeo ya mwaka huu ime msikitisha kila mpenda elimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarinii ndugu, Kuna uwezekano wa kupata Original Academic Certificates za form four na six kama zimepotea...... Coz nme-meet na hili tatizo, Msaada plz...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mwenye taarifa zozote kuhusiana matokeo kwa walio-appel HESLB.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhali niko kijijini nahitaji kujua mwenye taarifa atuijuze naamini wengi pia wangependa kujua Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wana jamvi sijawahi kuona wala kusikia shule toka znz imeingia ktk ten bora katika matokeo ya ya kidato cha 4 na pia hata sijawah kupata mwanafunzi bora wale kumi toka znz kwanini?
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Naombeni mnitajie Shule za #A_LEVEL ( ADVANCE ) Private Ambazo ni Nzuri Kwa Michoipuo ya #Art na #Science Ambazo zipo Mkoa wa DAR ES SALAAM :: Msaada NDUGU ZANGU , 0757645436 whatsApp...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom