Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wana jamvi na wadau Wa elimu hapa nchini kila mtu macho masikio, na akili yake kwa muda Fulani vilijaribu kuelekezwa kwenye matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa hivi karibuni, huku ikionyesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
s4631 kaizirege secondary school div-i = 33 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 0 div-0 = 0 cno sex aggt div detailed subjects s4631/0001 f 12 i civ - 'b+' hist - 'b+'...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari ya weekend wana jukwaa? Nina ndugu yng alili-sit mwaka jn 2013 km mtahiniwa wa kujitegemea(P1407/0060).Amepata CIV-C,HIST-C,GEO-C,ENGL-B.Sasa kutokana na mabadiliko ya madaraja ya ufaulu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya serikali kuona haiwezi kuwatimizia mahitaji yao ya mazingira magumu,posho ya kufundishia na kuongeza mshshara,serikali imeamua kuanzisha mpango wa kuwasaidia watoto kufaulu bila kutegemea...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ili kuwa na waalimu wenye uwezo, serikali inatakiwa iwapange wale wote wenye DIV 1&2 vyuo vya ualimu daraja la tatu A. Wataokwenda Form 5 na kupata DIV 1&2 form 6 nao wapangwe ualimu diploma...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani mdogo wangu kapata dv ya 37,sa sijui ndo kitu gani hiki,naumiza kichwa kama anaweza kwenda chuo chochote.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
s0443/0206 m 42 0 civ - 'f' hist - 'e' geo - 'd' kisw - 'e' engl - 'e' lit eng - 'e' bio - 'e' b/math - 'f' s0443/0217 m 43 0 civ - 'e' hist -...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Wana jamvi mi nna mdogo wangu wa kiume umri miaka 18..kamaliza form four mwaka jana na alikua kwenye shule ya kata ...sasa kafeli ..hebu nisaidieni nianzie wapi maana hii ni disaster.. "nchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani vizee vya kizungu na vibinti vidogo vya kiafrika (wanafunzi wakiwa na uniform) vinatutoa udhu jamani maana kila sehemu wanalambana mate kila sehemu mara wanaanza kunyonyana mishedede...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi kama mwanafunzi wa Elimu ya juu toka juzi nimepitia matokeo ya shule nyingi na kutambua kwamba wamefaulu lakini zaidi ya 50%wameangukia division IV. Je ufaulu wa Namna hii una tija kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mdogo wetu wa kike ambaye amemaliza form four... going to form five anataka kua pilot. Tuko against the idea but dogo yuko adamant. What I know for sure ni kwamba anapenda sana hesabu. Nimemshauri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
AJIRA MPYA ZA WALIMU. "Hili mmeliuliza sana. Natambua sana mnavyosononeka. Mimi pia sina raha kwa jambo hili. Linatushushia hadhi na heshima. Pia shule zinaathirika. Si muda mrefu Ofisi ya Waziri...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
NI KIGEZO GANI CHA KUTOFAUTISHA MATOKEO HAYA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE KIMETUMIKA??? Kinachonishangaza sana na kunisikitisha ni hiki hapa. Kuna wanafunzi wana-alama (points) 42 wamepewa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Huu utaratibu sio mzuri kwa mustakabali wa elimu nchini. NECTA rudisheni utaratibu wa majina kwenye matokeo kuna baadhi ya vijana wanatumia mwanya wa namba pekee kudanganya wazazi na walezi...
0 Reactions
94 Replies
8K Views
Wadau naombeni msaada wa kujua faida na hasara za mfumo wa CAMBRIDGE kwa mwanafunzi anayesomea Tanzania. Nahitaji kufahamu kwani nina mdogo wangu yupo shule moja, walimu wameshinikiza asome mfumo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hakuna cha shule ya wenye vipaji maalumu,sipo tayari kuangamiza ubongo wa watoto kisa shule uchwara za serikali,nataka watoto wangu wapate ufahamu sahihi hata kama wana div3
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Wadau naombeni msaada wa ufafanuzi kwa anayeelewa vizuri mfumo wa Elimu wa Cambridge unaotolewa hapa Tanzania. Mimi nina mdogo wangu tulimpeleka kwenye shule moja (private) kwa ajili ya masomo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka 2013 yanaoshesha kuwa, masomo yaliyo kwenye mpango wa Big Result Now(BRN) Yaani: kiswahili, english, biology na mathematics yameongoza kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Madaraja "a, b+, b, c, d & e" yameleta faida gani kwa o-level?
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom