Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hey wana JF nina mdogo wangu kafanya mtihani wa QT amefeli, eti hawezi kuruhusiwa kufanya mtihani wa form 4. naomba mnijuze.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada kwa hili, mdogo wangu ni mmoja kati ya waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2013, sasa nimeangalia matokeo yake yameonyesha kama ifuatavyo, CIVICS C...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wakuu., nilikua nafuatiria maswala ya scholaship wakaniambia nitafute chet cha kiingereza na pasport ya miaka kumi kwenda nchi yoyote, sasa shida inakuja jinsi ya kupata cheti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika Pita pita zangu na kupekua nimekutana na hii kitu imenivutia sana na nimetest iko vizuri,kazi nzuri vijana tutafika tu; Namna ya kupata matokeo katika simu ya mkononi bure bila kulipia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Eti kama umepata C 3 labda na D 3 ikiwa na combination hazija kubali vipi unaweza kwenda #ADVANCE ( Private ) , Msaada jaman kwa Anaye fahamu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi, Ndugu wasomaji wote. Tunaposema mambo ya udini,wale wanao kuwa wanataka kubadilishana vituo ili warudi kwao huwa wanataka nini? Walimu walio wengi huomba kurudi kwao ili mwisho wa siku walimu...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Eti kama umepata C 3 labda na D 3 ikiwa na combination hazija kubali vipi unaweza kwenda #ADVANCE ( Private ) , Na je ni Shule gan wanazo kubali hizo C 3 na zipo wapi?? Msaada jaman kwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Haya ni maajabu nan tumuamini kwenye ELIMU? PR.SMCHOME aliutangazia uma kuwa kiwango cha madaraja ya ufaulu kimenyumbuliwa, IKAPINGWA NA JAMII HON:MULUGO akaikataa pale bungeni na HON:LUKUVI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi elimu hii itakuwa na mapinduzi ya kifikra panapo 2025
0 Reactions
2 Replies
909 Views
kwanza niwape hongera kwa kumaliza form 4, pia hongera kwa wale wote waliowawezesha nyie kufika hapo wazazi, pamoja na walimu, nachotaka kuongea na nyie hapa nikuhusu haya, matokeo yenu ambayo...
10 Reactions
49 Replies
36K Views
Yupo kijana mmoja kapata Div.0 ya point 43 yenye D-1, E-4 na F-2 ambapo D=5pnts, E=6 na F=7. Hapo utaona mantiki ya kuwepo kwa Div5. Kwa kuwa NECTA wameongeza alama za 'B+' yenye pointi 2 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Seriously am running with the family causatives and comfricts amang themselves leading me to seek out responsors of paying my collage fees. Throught ICT empowering [information and communication...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimejaribu kugoogle matokeo tajwa hapo juu yaani form 4 waliomaliza mwaka 2005 sijaona napata tu 2006 na kuendelea pliz mwenye link ya huo mwaka pamoja na formsix mwaka 2008.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana jf habari , Napenda kuelimishwa juu ya kufunguliwa matokeo yaliyozuiliwa, hatua zikoje pamoja na gharama zake? Nitashukuru.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ivi utaratibu wa kuzipata umekaaje mwaka huu? nijuzeni jamani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani ni pride ilioje? We are in the top 10, and we appear 2 times in the top 100! watani zetu wanaonekana mara kibao, but kuna tofauti kati ya qtty na qlty baby! lol cc Smatta et al 1...
8 Reactions
86 Replies
11K Views
ukirict chet cha mwanzo unaruhusiwa kukitumia
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kwenye namba yake ameandikiwa hivi, *E nini maana yake?.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana Jukwaa, Aliyekuwa Mwalimu mkuu wa Idodi Iringa na aliyekuwa second master kigonsera Sekondari - Mbinga miaka ile amefariki dunia leo hospital ya Muhimbili kwa maradhi ya kisukari Innallilah...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
ukirict mmtihani cheti cha kwanza kinatumika ama vipi
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Back
Top Bottom