Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Gharama za maisha zimepanda na ushahidi ni wabunge wetu ambao wamekataa 300000 kwa siku, wanafunzi wanapewa 7500 kwa siku haitoshi hivyo serikali pandisheni mpaka 15000 ili vijana wetu wasome kwa...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndyo hali inazidi kuwa tete, hakuna mwenye taarifa rasmi kuhusu ajira mpya za walimu kwa TAIFA ambalo lina upungufu mkubwa wa walimu na mipango kadha wa kadha ambayo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hamjambo wanajamvi wenzangu,naombeni mnijulishe kuwa SECOND CLASS ni GPA inayoanzia ngapi?please wadau nisaidieni. Ahsanten sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
matokeo ya kidato cha nne hatimaye yamekamilika ikionesha kiwango cha ufaulu kikiongezeka ukilinganisha na mwaka jana.haya yamebainika jana kutokana na zoezi la upangaji baada ya kukalika.sasa...
2 Reactions
17 Replies
46K Views
  • Closed
Habari za muda huu wakuu.Ningependa kujuzwa matokeo ya kidato cha nne 2013-2014 yanatoka lini kwa anaejua si vibaya akanijuza.
0 Reactions
117 Replies
20K Views
WanaJf ee! Nimetembeza macho yangu weeee! kwenye net sijafanikiwa kuona Notes au Past papers za CPA(T) za NBAA (National Board of Accounting and Auditing), Labda nimeona za ACCA TU Hapa, but...
0 Reactions
11 Replies
17K Views
Mwanzo » Habari Wakaguzi elimu watakiwa kubaini walimu wazembe Na Kamili Mmbando 20th February 2014 B-pepe Chapa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimetunga kitabu cha riwaya ya Kiswahili. kinaitwa 'Hii ni Dunia' ninaomba mawazo yenu namna ya kuchapisha kitabu hicho na namna ninavyoweza kupata udhamini juu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika shule moja huko ngara kagera mwalimu wa kike alimpenda mwanafunzi wake,yule jamaa(mwanafunzi) akagoma kumkubalia kisa mwalimu alikua kicheche,anaruka na masoja wa kambi ya pembezoni mwa...
2 Reactions
46 Replies
12K Views
Wakaguzi elimu watakiwa kubaini walimu wazembe Na Kamili Mmbando 20th February 2014 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natafuta title la dissertation yangu ya masters, napenda ni deal na mazingira katika oil and gas industry, kwa wadau mlioko katika sector hyo naomben msaada kuni alert matatizo makubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni chuo cha usimamizi wa fedha. Hakika nichuo achacho kinatoa elimu bora kwani mambo yake mengi yapo"organised" Tangu kimeanzishwa mwaka 1972 under the Act of the parliament no 21 kimekua...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
How much would you be willing to part with today in return for 1,000 shillings to be received at the end of a five year period from now and become neither better off nor worse off, given that the...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naombeni msaada nataka kufungua chuo cha media ngazi ya cheti, mkoani Mtwara je, nahitaji kuzingatia mambo gani? na itacost kiasi gani? Asanteni
0 Reactions
4 Replies
16K Views
Ilipo anzishwa walimu wa upe kulikuwa na faida zake na hasara zake baadae walimu hawa wamefutwa (wengi wao wamesha staafu). Gafla wakaja waalimu wa voda fasta na wenyewe wapo wapo kiaina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
DC Mkwasa aelekeza walimu kujengewa mazingira mazuri By Mwandishi wetu 19th february 2014 Mkuu wa wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, Betty Mkwasa Madiwani na viongozi wa serikali za vijiji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Et wana jf mbali na udsm, chuo gan hapa bongo wanatoa masters ya hesabu? Maana nataman nkasome hesabu maana naona weng wanakimbia na naipenda
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau sasa imefahamika wazi University of Dar es Salaam (UDSM) imekuwa ya 28 katika vyuo bora Africa. Tofauti na fukununu za mwanzoni ati ya 4 Afrika Fuatilia link hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kinapendeza jamani
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Sisi wafanyakazi wa college of humanities and social science (udom) tunasikitika kudhulumiwa pesa zetu tulizo ambiwa na prof mwamfupe(ambaye alikuwa acting principal) tujitegemee kwa chakula...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom