Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Baada kukaa chuoni kwa wiki na nusu hivi,sasa nimeshamaliza kazi yangu ya kuchunguza ukuaji wa kitaaluma,na changamoto zake.Nilichokiona hapa ni majengo mazuri yaliyobeba wengi wasiojituma lkn...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
jaman wanajf kwa anayejua jinsi ya kujiunga na vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtoto aliyetoka o- level anaweza kunisaidia hapa.
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Katika hali isiyo ya kawaida na iliyowashangaza watu wengi wakazi wa wilaya mpya ya Itilima mkoani Simiyu Afisaelimu huyo amewapa uhamisho wakuu wa shule zaidi ya 10 na kuwavua madaraka wengine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wizara ya elimu yasema walioomba ajira miaka iliyopita, wasiripoti vituoni mwao,wasitegemee kupata tena. Tutakimbilia wspi cc?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Km wanyama wanauawa kila saa, kila dakika na sekunde Km wasomi nn kifanyike
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Kuna kijana mmoja ana diploma ya account,amepata upper second.anapenda sana kusomea sheria..Je anaweza kwenda kuchukua degree ya sheria pale ud au mzumbe kwa dip.yake ya akaunts..?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kwa wenye ufahamu mnisaidie kujua gharama za kufanya ACCA na vituo vyake kwa dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau napenda kuwasalim "tumsifuni yesu kristo"ebu tukumbushane kidogo enz zile..unalikumbuka lile sweta la mwalm dungu ,.mashaur jee..Mzee wa ndago kiraka wewee..
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Jaman ndugu zangu tunaelekea wapi?Elimu yetu inakoelekea sielewi maana nimeshangaa kutembelea shule moja ya msingi,drs la tatu had la saba kuna robo tatu kila darasa ambao hawajui kusoma wala...
0 Reactions
4 Replies
971 Views
Wanaforum kwa anaejua umuhimu wa specialist course ya banking mnijuze umuhimu wake katika banking career
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ya kuelimishana. Mimi ni mgeni humu JF,nimepata msukumo kutokana na watu mbali mbali nilioona wanavyopata msaada humu JF Mimi ni mfanyakazi wa Taasisi moja iliyo chini ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MFUMO WA KUTAHINI WA NBAA UTAZAMWE UPYA Naishangaa sana NBAA. Wakati nchi nyingine za muungano wa jumuia ya Afrika Mashariki zikifanya kila juhudi kuhakikisha wananchi wake hawaachwi nyuma...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
wakuu habari zenu. mimi ni mhitimu wa shahada ya Elimu mwaka 2013 nimespcialize hesabu. kama kuna shule binafsi wanahitaji Mwl mweye sifa kama zangu tuwasiliane inbox. nipo tiyari kuweka mkataba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona tangazo la Postgraduate Dip in Edu evening programme. Mwenye uzoefu na Elimu itolewayo pale (DUCE) anijuze. Is it a deal?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Naomba msaada kwa anaejua vyuo vikuu vya hapa nchini ambavyo vinatoa Degree kwa kushirikiana na vyuo vya nje ya nchi, ikiwezekana aniambie ni course gani wanazotoa. Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wakati vyuo vingine wakiwa wameanza likizo hapa kwa mrumi semista ya pili inaanza rasmi kesho, nichukue fursa hii kuwatakia jamaa zangu masomo mema, wapende shule tuu maana ndio iliyowaleta...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Naombeni msaada jamani walioappeal mkopo wanatoalini majina?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa juu ya sehemu za/ya kusoma review kwa ajili ya mitihani ya bodi ya ununuzi na ugavi (psptb) jijini Mwanza.Nitashukulu!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere inaonekana kinaongozwa kiaina na Mkuu wa Chuo aliyestaafu. Mkuu huyo mstaafu ni DR. J. Magotti. Alistaafu rasmi tarehe 05/01/2014 lakini hadi sasa anatumia...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2013 Yanaweza Kuwa Mazuri, 2muamin Tu Mungu Atasaidia. Kueni Na Aman Wahitimu Wote, Mcwe Na Shaka Utavuna Ulichopanda.
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Back
Top Bottom