Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ninatumia yahoo.com na gmail.com, nikituma mail kwenda account ambazo haziishii na .com, mfano .go.tz, na nyingine kama hizo. Tatizo ni nn tafadhali?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwanza lazima tumshukuru Mungu kwa kupata elimu hii tulioipata!! umepata degree,diploma au chet yote ni Mungu Amekusaidia! Kumbuka Wale Wenzako Ambao Wameishia Darasa La 7 Na Leo Hii Wana Familia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf ningependa kujua mtu mwenye degree tajwa hapo juu anaweza somea masters tofauti na education? Ni masters zipI hizo anaweza soma? au anatakiwa asome masters zinazohusiana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inashangaza kwa Mhadhiri wa chuo kikuu ambaye kila siku anakuja darasan na kuanza kufundisha haraka haraka tena kwa kasi za ajabu......yaaani anasoma kwenye kitabu(densa) kisha baada ya hapo ni...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
hivi field ya ya mwaka wa pili (degree )hufanywa wakati gan wa likizo.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kama matokeo ya kidato cha nne mwaka 2013 yametoka?maana nilipiwa habari yangetoka tarehe 13 mwezi huu.
0 Reactions
42 Replies
19K Views
Habari ya leo wadau, napenda kutumia fursa hii kuwashauri waalimu wa masomo tajwa hapo juu, kwa mjibu wa mnyetishaji wangu kutoka wizara ya elimu ni kwamba safarii hii hawataajiri walimu wa...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
wadau nliuliza umuhmu wa cheti cha std 7 ila wengi WAMENSHAMBULIA KWA MATUSI NA KUSEMA ETI KINASAIDIA KUTAMBUA UTAIFA WAKO NA KUA KWELI UMEZALIWA TZ......wengi japo sio wote wamejibu hvyo yani huu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
heshimu kwenu wanataaluma, tafadhali mwenye kujua format ya research pepa anisaidie... sijui pa kuanzia wala kuishia. amani iwe kwenu! ahsanteni kunielewa.
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Kuna bwana mdogo wangu ana diploma ya accounts anahitaji kujiendeleza. Naomba kujua chuo kiko wapi[INSTITUTE OF TAX MANAGEMENT] hapa dar, na kinamchukua mtu wa sifa gani. Dogo anasema kapitia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
kuna taarifa kwamba chuo cha ualim Kleruu Iringa kimekatiwa umeme kwa majuma mawili, wanafunzi wamegoma na wale jamaa "wapigwe tu" wamefanya kazi yao, mlioko Iringa au mwenye taarifa kamili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
na fit katika secta nyingi sana especially educational sector... nipo bored sana home so kama unaofisi au kampuni ndani ya mbalizi au mbeya jiji unaweza ukani PM.
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Wana JF naomba kufahamu idadi ya vipindi kwa wiki ambavyo mwalimu wa secondary o'level anapaswa kufundisha kisheria, maana hawa ma-headmaster wanataka kuwapelekesha sana walimu.
0 Reactions
21 Replies
11K Views
chuo cha chakatiwa umeme wanachuo wahaha ovyo kutafuta maji na haijulikani adha hiyo hadi lini,,,,.Loading.....
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kama unataka Full Scholarship, au free online kozi...Zipo HAPA
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo wilaya ya Kasulu mkoa wa Kigoma, kwa mwalimu aliyeko Morogoro,Dodoma,Mwanza,Kibaha ,Tanga,Kilimanjaro na Dar es salaamu tuwasiliane kupitia#0714963829 au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.serikali haitaajiri tena walimu,badala yake itabidi wajitafutie wenyewe private. 2.wale wachache hasa wa sayansi watatakiwa kuandika barua wizarani ili waweze kuajiriwa serikalini. 3.walimu...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
  • Closed
Matokeo y kdato ch nne 2013/2014 inaelezwa kuwa yatatoka feb,9 lakn pressure juu y matokeo kwa wanafnz n gumzo.
1 Reactions
22 Replies
126K Views
Habari wadau, Jamani kuna yeyote mwenye taarifa rasmi juu ya lini serikali itatangaza post za kazi za walimu kwa mwaka huu?,maana kumekuwa na taarifa nyingi juu ya tarehe hiyo.Watu wamechoka sana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KWA NINI TATIZO LA UHABA WA WALIMU TANZANIA HALIISHI? Nchini tanzania tatizo la uhaba wa ualimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom