Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

any body who can assist me to know the grading systems used also..the division which can allow someone.. .To continue with high education and also which can allow to join different colleges...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiukweli necta cjawaelewa kiukweli na nimeona hawana nia njema na watoto we2 walioko shule ze2 za kata.Kwakua naona wameshindwa kutambambua utofaut wa mtoto yule alyepata gred E na yule alyepata...
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Wadau tcu wanatoa lini matangazo ya kuanza kuomba vyuo kwa mwaka wa masomo 2014/2015 mwenye tetesi wadau jf
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu cha Ardhi Dar es Salaam.Ninachukua Bachelor of Science in Accounting and Finance(BAF).Sijafanikiwa kupata mkopo japo nimejitahidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa norah pius ni mwalimu shule ya msingi wilaya ya kigoma mjini kwa yoyote anaetaka kuja huku tubadilishane ningependa tanga,arusha,kilimanjaro,dodoma,morogoro namba zangu 0785080410 asanteni.
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Naomba kufahamu kama mzumbe wanatoa post graduate diploma in procurement and supply management.
0 Reactions
0 Replies
730 Views
UFAFANUZI: KWA NINI WANAFUNZI WENYE POINTI SAWA WAMEWEKWA MADARAJA TOFAUTI KWENYE MATOKEO KIDATO CHA NNE 2013! Hatimaye Baraza la Mitihani (NECTA) limefafanua kizungumkuti kilichowakumba wengi...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Muda huu makao makuu ya necta matokeo yanatangazwa UFAULU WAPANDA KIDATO CHA IV 2013. Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka...
9 Reactions
273 Replies
101K Views
Nina B.A ED,OLEVEL NINA CIV B,HIST C,KISW B GEOGR B,ENGL B AGR B BIOS D CHEM D NA MATH F ADVANCE HKL BBB,NATAKA KUBADILI FANI NIINGIE AFYA AU MISITU NISAIDIEN ,KOZ GANI NAWEZA SOMA NA CHUO KIP NA...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Kuna jamaa kanipigia simu asubuhi,na kunambia eti serikali imetangaza kuwa kwa walimu wanaosubiri ajira mpya inawapasa kuomba kwa kuandika barua-zoezi hili huanza sasa! Eti ni kweli wakuu?
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wakuu!. Kwanza kabisa poleni na heka heka za kila siku za hapa mjini. msaada kidogo! nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne alama zake za ufaulu ni; B/math-C Engl- C Kiswa-B Bios- D...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni mnitajie Shule za #A_LEVEL ( ADVANCE ) Private Ambazo ni Nzuri Kwa Michoipuo ya #Art na #Science Ambazo zipo Mkoa wa DAR ES SALAAM :: Msaada NDUGU ZANGU , 0757645436 whatsApp | txt ( sms )
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Mimi ni kijana niliyehtim kidato cha nne mwaka jana e naomba mnitajie shule nzuri kwa combination za PCB na EGM na CBG za serikal .
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani kama ni kuchoka nmechoka na taaluma nnayo nmechoka ki- ukweli
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Na tuache movie iendeleeeeeeee............................................... Pls soma attachment mwenyewe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Law School kuna mkopo wa kusoma??....Ni kweli kuwa applicant akilipa ada anapewa mkopo wa accommodation na meal allowance?..Ninawaombeni majibu, please. Ninawasilisha, wana-JF
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Start making money without any cost
1 Reactions
0 Replies
734 Views
Kwa nchi kama Tanzania matokeo makubwa sasa yameonekana. Nakubaliana kbs na usemi huo. Wanafunzi wote kufaulu Tanzania inawezekana
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Wanabodi salaaam,najua tuko busy na ujenzi wa taifa,lkn mara moja tukutane hapa.wale wa toka enzi za buchs,weill bugando,hadi sasa cuhas,,wote kuanzia md,pharmacy,nursing,radiology,laboratory hadi...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kama unaihataji murudia mtihani wako wa CSEE kwa mkoan Kilimanjaro kituo kilichobora kabisa kwa hudma zte muhmu kwa mwanafunzi ni ZACHARIA CENTER, kilichopo majengo karibu na kanisa la KKKT...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Back
Top Bottom