Je wajua ni kwa nini walimu wa zamani hawakugoma ingawa mishahara yao ilikuwa ni midogo?
1:Tuliwapelekea kuni,
2:Tuliwachotea maji,
3:Tuliwalimia mashamba,
4:Tuliwafanyia kazi za nyumbani...
Wadau vyuo vimekua vingi sana na wahitimu ni wengi.Tunapoelekea tetesi ni kua itafikia kipindi wenye GPA kali ndo wanaajiriwa kama udokta,ualimu,wahandisi
Naombeni kujua kama Continuous Assesments (CA's) au maendeleo ya mwanafunzi pindi akiwa shuleni katika upangaji wa mtokeo ya kidato cha nne yanatunika? . Kama ndio, hii kwamba haimanishi wanafunzi...
Kwenu JF members. Tunahitaji mtaalam mwenye uwezo wa kufundisha namna ya kutengeneza sabuni ngumu, sabuni ya maji, sabuni ya Unga, na mengineyo kwa manufaa ya watu wanaotaka kuanza kujiajiri ila...
Ndugu wakuu,naomba msaada hapa,nilichaguliwa chuo kimoja hivi katika kozi ya BBA,,lakn nmektana,na changamoto ngum na kwa sasa nafikiria kuhama chuo katika mwaka wa pili,,je inawezekana?na...
nyie wakubadilishana mkae huko huko watu tunasikia uchungu bhana kuona thread zetu mara Cjui songea to dar nani aache jiji aje kwakina ndungulu
subilini zitote kwanza
Kwa kweli jamani chuo kikuu,Dar cumpus ni chuo cha makanjanja,kinaendeshwa kienyeji
Wanafunzi wa masters toka tumemaliza coarse work mwaka jana july ndio sasa wametoa majina ya supervisors tuanze...
Niko kwenye kikao cha walimu wa kata3 za etaqo, nyakatende na nyegina chini mwenyekiti wa halmashaur mkurugenzi afisa utumishi na deo kubaini changamoto za matokeo makubwa sasa/ hoja zinazotolewa...
Wadau kuna siku tulibishana sana na jamaa zangu tukiwa Form Five kuhusu kombi ya EGM Kama ni Sayansi, Art au Neutral? Anaefahamu vema anijuze jamani maana hadi sasa sina jawabu kamili hata...
Heshima kwa wote,
Mimi ni mwanafunzi wa ngazi ya uzamili katika chuo kimojawapo hapa nchini. Nipo katika ngazi ya kufanya utafiti (dissertation writing). Eneo ninalofanyia ni juu ya elimu...
Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne iliyoundwa na mh pinda walibabaini kuwa ,
kiwango kidogo cha Elimu(diploma) kwa wakuu wa shule ni Moja ya sababu...