Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

UDOM ni chuo kinachotoa wataalam kweli? kama ufaulu wao unaanzia C ya 35 je hapo kunaelimu kweli? Namuuliza rafiki yangu anaye soma UDOM anasema kudisko udom umetaka mwenyewe yaani labda...
6 Reactions
92 Replies
16K Views
Mim ni mwalimu wa sekondari, natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo,yeye aje Mtwara, awe anatoka RUKWA,KATAVI AU MBEYA! MAWASILIANO 0785149393
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana MMU habari za wakati huu.. Wakuu nina rafiki yangu ambaye amepata anatarajia kusoma Masters ya Socio science kwenye chuo kimoja hapa Tanzania kuanzia mwezi wa 9/10 mwaka huu, sasa anatafuta...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu mimi mmojawapo wa wahanga waliokosa mkopo mwaka jana 2013/2014 na hivyo kupelekea kuhairisha masomo kutokana na ukata lakin mwaka huu nimeamua niombe chuo upya ili niombe na mkopo tena lakin...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hongera umeanza na rungwe, fuatia sehemu zingine, kama huku Monduli Arusha utafunaji wa hela za serikali ni wa kutisha: pesa za ruzuku ya chakula kwa wanafunzi, ruzuku ya vitabu, fedha za boresha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanajamvi naomba msaada wa vitabu vizuri vya hesabu kwa o level na waandishi wa vitabu hivyo
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ninataraji kujiunga na masomo ya postgraduate diploma in procurement and supply mwaka huu.Ombi langu ni kufahamishwa juu ya chuo kitakachonifaa kati ya Tanzania institute of accountancy au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi!! Naomba ushauri juu ya mfuko gani wa pensheni ni mzuri kujiunga nao?? Uzuri wake uko wapi ukitofautisha na mingine??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naomba kufahamishwa kama Veta wafundisha kozi za upambaji. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Mimi naamini katika mgawanyo wa kazi kama sehemu ya kuleta ufanisi kazini, nimekuwa nikishangazwa na jeshi letu tukufu la Polisi, kila polisi ni trafiki, hata wale wanaosimama na bunduki kwenye...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
wakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG,CBM au CBA anaweza somea doctor...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
  • Closed
Oya wadau kwa anayejua mi ndo nmesikia hvo anihakikishie
0 Reactions
68 Replies
48K Views
Salaam Mwana Alumni wa UDSM, Heri ya Mwaka 2014. Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Shule ya Biashara (UDBS) kinakaribisha maombi ya kujiunga na shahada za...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wana janvi kunatetesi kwamba wanafunzi wengi wanaosoma mchipuo wa PCM wanakuwa wanaweza sana Somo la Physics kuliko wale wa PCB je kuna ukweli wowote? Kama kweli unafikiri ni kwa nini?NAKARIBISHA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa masomo ya sayansi A-Level; Physics, Chemistry na Biology mnaonaje tukiwa tunaweka notes za masomo hayo hapa jamvini. Hii itasaidia kupambana na changamoto ya upungufu wa Walimu na Vitabu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
ffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff...
0 Reactions
42 Replies
19K Views
Ni kozi ipi nzuri kati ya hizi ni nzuri na ni marketable kwenye ulimwengu wa IT : C I EH = Certified Ethical Hacker CISM = Certified Information Security Manager CISA = Certified Information...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi, kuna mdogo wangu aliishia kidato cha pili kutokana na uhaba wa fedha, sasa mda huu mimi nimejikwamua kidogo nina mshahara japo kuwa ni mdogo ila anataka nimpeleke shule...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana Jf Mliopo Arusha naomba msaada wenu, chuo cha VETA kipo sehemu gan kwa mkoa wa arusha? Ama ofis zao zipo wap?
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…