Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wana Jf mliopo Arusha au kwa anayefahamu eti VETA arusha ipo wap? Au ofis zao kwa mjin zipo wap?
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Elimu ya tanzania imedumaa na isiyo na mabadiliko siku hiz iki masomo vijana wa form one wanaenda mashuleni bila kujua kusoma ajabu sana hii elimu ni duni kwelikweli lakini ukweli maafisa elimu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
All the best to all university students who have started their UE and to SUA students who are going to start tommorow, may almighty GOD be with you to the end.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mambo wanajamvi. Natafuta mtu yeyote anaejua uchumi wa kujitolea. Anfundishe kwa miez 2 tu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF habarini za weekend? Bila shaka mu wazma wa afya njema! Kuna jambo limetokea kwnye shule ya wavulana mbali na kwamba mdogo wangu naye na mhanga wa tatizo hilo pia naona ni...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Naomba ushauri juu ya chuo bora cha kusoma Postgraduate diploma in procurement and supply management hapa Tanzania.Je,katika mitihani ta bodi ya ugavi,mwenye kiwaango hiki cha elimu anaanza na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Degree program; AGRICULTURAL ECONOMICS & AGRIBUSINESS [AEA] 2nd yr - SUA Muda ni kuanzia mwezi wa nane... Priority areas..:Kanda ya kaskazini especially Arusha & Kilimanjaro
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WanaJF, Kwa siku ya nne (4) hostel za Mabibo hazijafanyiwa usafi na watoa huduma wa kampuni mojawapo iliyoingia mkataba na chuo kikuu cha Dar es Salaam kufanya hivyo.Taarifa zilizozagaa ni kwamba...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wadau nimejaribu kusurf kwenye blog ya mzumbe university kucheki academic year yao Uzamili inaanza miezi ipi nimekosa kabisa. Kama kuna mshika dau yeyote anijuze.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau nilikuwa nauliza hivi, inawezekan mtu kamaliza kidato cha nne mwenye daraja la tatu kujiung na stashahada moja kwa moja? Nasikia st. John Dodoma wanatoa hiyo, inawezekana kweli?
0 Reactions
23 Replies
10K Views
2007,nimehtm kdato cha nne,2010 nimehtim cha sita,the same year nikapata chuo na mkopo kwa asilimia 30,maisha yalikuw magum pale chuo,nikasoma miez mitano,semister ya kwanza,ya pili nikaacha chuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Udahili wa pamoja kwa wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga sekondari za umma na za binafsi, nauona kama ni mpango uliofeli hata kabla ya kuanza. Mpango huu, ambao haujawahi kujaribiwa na nchi yoyote...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ninatafuta shule au mtu binafsi wa/ya kufundisha kwa muda wakati nikisubir mda wa chuo ufike, ninafundisha physicS,chemistry na biology...nina uzoefu wa kufundisha masomo hayo kwa ngazi ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nasoma automobile engineering, nipo mwaka wa kwanza, naweza kupata wapi field kwa dar? Msaada tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani hiiis hule enzi zetu iliwahi kutinga tano bora kipindi kile ilikuwa mchanganyiko lakini tangu iwe ya girls mambo si mambo ni kama haipo vile kunani jamani mi nasikia uchungu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Workers' Solidarity Songs Solidarity Song; Solidarity forever, Solidarity forever, Solidarity forever,for the union makes us strong. In Swahili: Wimbo wa mshikamano Wafanyakazi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni chuo kilicho na ukiritimba,wizi wa fedha katika serikali ya wanafunzi na pia ni chuo kinacho ongozwa kwa ubabe wa MAKAMO MKUU WA CHUO TAALUMA Mr ZILIONA. Chuo hiki kimekuwa kikitafuna fedha ya...
3 Reactions
30 Replies
21K Views
Habari wakuu.. Naomba mwenye kujua anisaidie,mm nasoma chuo kimoja hv kozi ya BBA,lakn nmekutana na changamoto znazonkwamisha katika masomo yng sasa ngependa kujua je inawezekana kuhama chuo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nakumbuka tulikuwa tunajita Milambo men's na kwa kujitenganisha na Tabora boys, ugomvi wetu na tabora boys, tuliukuta na tukauacha, nakumbuka tuligoma kula mpaka mkuu wa shule kipindi kile anaitwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Brookhouse school:Is this the most expensive school in Kenya? Feb 10 Posted by Kenya Reporter If you thought education is expensive in...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…