Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Arxiv.org ni sehemu ya wasomi kusoma na ku kuchapisha papers za kiuanazuoni. Uzuri wake ni kuweza kuchapisha na kusoma papers mtandaoni bila ukiritimba sana. Kuna Watanzania wanaotumia Arxiv.org...
9 Reactions
45 Replies
5K Views
Jamani kama kichwa kinavyoieleza. Namtafuta mwalimu mtefu mara ya mwisho nmeachana naye 2010 mwezi January yeye alikuwa anafundisha Meta sec school pale Mbeya somo la history. Naomba kwa yeyote...
7 Reactions
124 Replies
14K Views
I normally think about this reality and get lost on its logic. Why is it so? How can you say that something negative once multiplied results into positive? Is it really correct? Or we swallow the...
4 Reactions
19 Replies
606 Views
Nini maana ya misamiati ifuatayo:- 1. Mwanagenzi. 2. Fasili. 3. Force Account. 4. Maduhuli. 5. Jahili. 6. Anuai. 7. Ardhi-oevu. 8. Ardhi-chepe. 9. Masuhuli. 10. Msimbo.
0 Reactions
3 Replies
392 Views
Hello watanzania wezangu, naomba mnipe maelekezo ya kufika shule ya AHMES (advance) nipande magari yapi nishuke wapi etc. Mimi natokea Ukonga
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu wa 'Physics' na 'Chemistry' (kwa sekondari), ninaweza pia kufundisha hisabati na sayansi kwa shule za msingi maana nimeshafundisha kwa miaka miwili), ninafanya kazi na kuishi Dar...
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wa kuu, kama Heading inavyojieleza, naomba msaada wa kufahamu ada ya kujiunga na Bodi ya Tehama. Nachofahamu kuna 20,000 ya kutuma maombi na Kuna pesa ya Usajri. Mwenye anafahamu msaada...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wadau. Hivi ukichrewa kusaini pesa ya kujikimu, pesa hiyo itarudishwa bodi na hutopewa tena hata ukisaini au inakuwaje? Naomba kujibiwa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari, Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu na je fedha hizo zinaweza kurudi?
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Hello wanafunzi wa vyuoni hususani wa degree za accounting, poleni na mihangaiko ya quizzes, tests, assignments, presentations, discussions bila kusahau misuli ya mwisho mwisho kupukuta gpa. Kwa...
3 Reactions
15 Replies
7K Views
Nahitaji kusomea diploma business managing and marketing je, inawezekani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wana jamvi, Matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea. Straight to the point, tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa...
5 Reactions
487 Replies
27K Views
Habari, Kama juzi kati mliona ilikuwa inavuma sana mitandaoni baada ya Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili kuweza kuibuka kinara Africa Mashariki na Africa ya Kati kwa kuwapiku vyuo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
What is career? A person’s course or progress through life. It also pertains to his occupational or profession that usually involves special training or formal education and is considered to be a...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Kichwa cha habari cha husika!! Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!! Nitalipia!! Kwann sijaenda vyuo/Taasisi -Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Matumizi ya being kwenye sentenses ni yapi? Na maana yake hasa ni ipi?
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete has re-appointed Prof. Bonaventure Sylvand Ishengoma Rutinwa to the position of Deputy Vice Chancellor - Academic from 2021/2022 to 2024/2025 effective from 1st December...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, Kwa matokeo haya form 6 je, unaweza soma course gani chuoni na kwa Level gani? H-F K-E L-E na GS -E Division iii point ya 17 Je, mtu huyu ataenda kusoma course gani ambayo...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani General study E History E Geography E English D Ana dv 3 ya 14
1 Reactions
12 Replies
1K Views
wadau ushauri kwa mpwa wangu please G/STUDIES - 'E' GEOGR - 'C' PHYSICS - 'D' ADV/MATHS - 'E'
3 Reactions
60 Replies
6K Views
Back
Top Bottom