Samahanini wapendwa Mimi ni mwanafunzi wa first year chuo kikuu natamani kujua. Njia nzuri au namna nzuri ya kusoma itakayonifanya nipate ufaulu mkubwa.Mfano sekondari tulitumia njia ya kusolve...
Habari wana JF
Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT...
Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nina mdogo wangu amepata division II ya 21 anataka kusoma CBG Kwenye combination ana DCC Je anaweza kuchaguliwa shule ya Serikali bila utata...
Mm nimemaliza kidato Cha 6 mwaka 2022 kiuhalisia nimepataje matokeo mabaya yaan Division 3 ya 14 Combination EGM
Economics D
Geography E
Mathematics E
Ila na ndoto za kusoma Degree ya accounting...
Ndugu wana Jukwaa la Elimu,
Yupo jamaa yangu ni mtumishi wa serikali upande wa utawala na ana BAED (Geography and Political Science and Public Administration) wiki moja nyuma alikuja kuomba...
Uwe na IQ ya kutosha maana Harvard si pa mchezo kama udsm...Hapana.
Pale Harvard Kuna wakati IQ yako haifai chochote. Haijalishi una IQ ya 125, 135, 145, 155, 165, au 175. Vyuo vikuu vya...
Brothers and sisters naombeni msaada, nini kifanyike au wapi naweza kupata haki?
Mdogo wangu alikua anasoma Form Two mwaka huu 2022 shule ya kata, lakini juzi kipindi wanaanza kufanya mitihani...
Habarin wanajf Mimi ni muitim wa kidato Cha sita kwa combination ya HGL baada ya matokeo kutoka nimepata division 3 ya 13 yaani
History-D
Geography-D
E language-E
GS-S
Je, kutokana na ufaulu...
Habari zenu ndungu zangu..
Kuna uwezekano wa mtu aliyemaliza form 6 PCM mwaka huu ( division III.14 ) akachukua degree ya computer science.
Physics-E...
Wanasema lugha ambayo Mungu alitumia kuumba ulimwengu ni hesabu. Hata wanapoangalia na kulinganisha performance ya elimu kwa nchi mbalimbali, huangalia Hesabu na sayansi.
Sasa basi, ufaulu wa...
Link: Free Online Course Materials | MIT OpenCourseWare
MIT chuo namba moja duniani kwenye maswala ya Technologia wanaweka Course zao nyingi Online bure!
Kwa sasa kuna course 1,900 online...
Habari watanzania, leo nimekuja na hili swali, maana limenichanganya kidogo. Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.