The Bachelor of Science in Social Protection at the Institute of Finance Management is a degree program designed to provide students with a comprehensive understanding of social protection systems...
A Bachelor of Science in Social Protection can open up a wide range of career opportunities in various fields related to social work, social welfare, and social development. Here are some areas...
Msaada tafadhali
Mhitimu wa diploma ya uhasibu kutoka chuo Kikuu Huria Tanzania, anaweza kuajiriwa katika taasisi mbalimbali ikiwemo na serikalin km Mhasibu msaidizi?
Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and...
Wana bodi kwakua NECTA hawakupi cheti kingine ikiwa umepoteza cheti cha form 4 na form 6 je kama ukitengeneza cha mitaani na kikafanana na kile kile cha mwanzo na kina index number yake hivi nayo...
Siku za nyuma nilidhani chuo kikuu cha mtakatifu Augustine (SAUT) kilichopo mkoani Mwanza hakina uwezo wa kuzalisha vijana na wasomi wenye kuweza kulisaidia taifa katika kusukuma gurudumu la...
Habari Wanabodi,
Nina binti yangu yuko mwaka wa kwanza chuo akiwa na 80% ya mkopo HESLB ila amekuwa shortlisted usaili wa Jeshi la Polisi.
Hivyo naomba mawazo yenu aendelee na Chuo au aende...
Niko kwenye maandalizi ya kujiunga chuo kwa ajili ya kuongeza uelewa katika taaluma yangu ya ufundi, naomba kujua kwa ulinganifu kipi bora kati ya Tablet PC na Laptop.
Natanguliza shukran...
Habari za jioni wadau?
Naomba kufahamu vigezo vya kujiunga na chuo cha ualimu ngazi ya cheti (astashahada) na ngazi ya stashahada (Diploma).
Je vyuo vinafunguliwa lini?
Kama serikali ina nia kwa wananchi wake kujua kiingereza, basi somo hili lianze kufundishwa tangu darasa la awali kama ilivyokuwa hapo kabla.
Na ikiwa si la muhimu sana basi ni afadhali lifutwe...
Habarini za leo wakuu.
Nahitaji kujua kama kuna chama cha wakemia Tanzania.
Na kama kipo kazi zake ni zipi hapa nchini.
Na kama hakipo kwanini hakipo wakati field ya kemia ipo hadi Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.