Chuo cha nursing kilichofunguliwa mwaka huu kilichopo wilaya mpya Mkalama mkoa wa Singida bado nafasi zipo,ni cha Private sifa za kujiunga zina baki zile zile kama wizara ilivyotoa maelekezo kwa...
habari za mchana wana jf....!..hivi mtu mwenye degree ya nursing midwifery anaweza kubadili taaluma na kusomea M.D...?..(vigezo vyote vya kuxoma m.d alikuwa navyo kabla ya kuxoma midwifery)...msaada!
Hello Students,
MEGA Kijana Foundation based in Arusha came into existence in 2013 primarily as a Movement for Education and Growth Action (MEGA) primarily to raise the awareness in skills for...
TUME YA KUCHUNGUZA MATOKEO YA MITIHANI NI SAHIHI
Taarifa kwa ufupi ya Tume ya kuchunguza matokeo ya mitihani iliyoteuliwa na Mh. Pinda, inaporipoti kuwa mitihani ilikuwa ni madudu na ilitayarishwa...
Ufahamu mdogo wa mambo na kikwazo kikubwa cha maendeleo kwa watanzania nimegundua ni uvivu wa kujisomea,,watanzania wengi utakuta wakimaliza masomo yao basi wamefunga kurasa za vitabu...
Kupata kazi usalama wa taifa sahau,wengi huchukuliwa toka vyuo vya serikali.
Kwa ufupi hawaviamini kwa sababu vilaza ndo wengi wenye 3 za mwisho ndo ponea yao duu
Leo nimeamkia loan board baada ya habari nyingi tunazozisikia kwenye vyombo vya habari, lakini bado wanadai kua watakao kua considered ni wale waliokosea tu kujaza form zao za mkopo..ambao...
bod ya mikopo wametoa majina ya waombaji waliokosea kujaza form,na wenye dosar mbalmbal warekebishe kuanzia kesho mwisho tar 6 november.tafadhar cm yangu haifungui file la pdf naomba mnitazamie...
Leo nikiwa mitaa ya departiment of agriculture engeneering nikataka kujua coz zilvyo,dah! Kiukwel n pagumu mfano:bioprocessing and post harvest engeneering first year wapo 45,2nd year=34 3rd...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.