Kwa mawazo yangu ninadhani mikopo ingetolewa kwa woote wenye sifa bila kujali yupo kazini au la.Kwa mfano mwl kipato chake hakimwezeshi kulipia chuo cha private lakini pia izingatiwe yupo kazini...
Hivi kuna usanii gani unaendelea ndan ya bodi ya mikopo mbona vijana wengi hasa mwaka wa kwanza wameandiki ELIGIBLE to get loan lakin sababu za wao kukosa ni uongo!hv taif letu linakwenda wap!
Habari wana JamiiForums, natumaini kwamba ni wazima wa afya. Napanda jukwaani kwa msukumo nilioupata ndani yangu kuwafikishia ujumbe rafiki zangu, vijana wenzangu.
Mimi ni kijana mwenzenu...
kuwa na vyuo vingi vya ufundi kuliko shule nyingi za elimu ya nadharia.wahitimu wengi leo wana shahada za elimu ya juu lakini hawawezi kufanya kitu chochote mtaani,kweli elimu ya kibongo...
Serikali imeiagiza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kuwapa wanafunzi 1,107 wenye sifa waliokosa mikopo kwa kutokidhi mahitaji ya Bodi, fursa ya kurekebisha makosa kwa kujaza...
Malalamiko juu ya MENEJIMENTI ya Chuo cha kumbukumbu ya MWALIMU NYERERE
MALALAMIKO JUU YA MENEJIMENTI YA CHUO CHA KUMBUKUMBUKU YA MWALIMU NYERERE 1. SHERIA YA UANZISHWAJI CHUO Mh...
NBAA wishes to inform its esteemed stakeholders and the general public that it has reviewed its syllabus for both Professional and Accounting Technician examination schemes. During its 158th...
hawa ni vijana waliojizolea umaarufu mkubwa kipindi fulani humu jukwaani...kwasasa itakuwa wapo shule kwa hiyo hawaonekani tena...kumbe dawa ya watoto hawa ilikuwa ni shule tuuuu...
Hii ni kutokana na mvutano uliokuwepo kati ya senate ya chuo na wakuu wa vitivo,itakumbukwa kwamba hao vijana walikua wamedisco toka matokeo ya semister ya pili ya chuo,lakn ikatokea kwamba senate...
natafuta shule za o level za private ambazo bado hazijafanya interview kwa kwa ajili ya wanaotaka kujiunga form one,kwa yeyote anaejua majina ya hizo shule naomba anijulishe
Wewe unaependa Stationery za bei rahisi,ogopa sana kitu inajiita SWAHIBA Stationery!
Wafanyakazi wake hadi Bosi wao wote MATAPELI.Tafadhali,fuatilia maelezo yafuatayo ufumbuke macho.
Nilienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.