Wewe unaependa Stationery za bei rahisi,ogopa sana kitu inajiita SWAHIBA Stationery!
Wafanyakazi wake hadi Bosi wao wote MATAPELI.Tafadhali,fuatilia maelezo yafuatayo ufumbuke macho.
Nilienda...
Wandugu, baada ya kivumbi cha Arusha kutulia, ngoja sasa turejee kwenye mambo ya msingi huku tukisubiri tukio jingine litokee, maana hii nchi kwa matukio haina mfano!
Ni sababu hiyo hiyo ya...
Kwa wale wenye uelewa juu kozi ya automobile engineering naomba mnieleweshe kiundani hiyo kozi inahusu nini;carriers wake wanafanya kazi gani; ina status gan ktk nchi yetu? Natumai kupata maoni ya...
Naskia ziltoka kupitia gazeti la dailynews 3 weeks ago,,but me skua na taaraifa.......so,mwenye kujua ilikua lini anifahamishe coz nmechek net sjapata kitu
Jamaan Naibu wazir Mulugo amesema wizara na bodi wanatafuta fedha zingne kwa ajili ya walikosa mikopo lakn coz zao ni kipao mbele na fomu zao zilikuwa dosar akitoa tarifa kwa kamati ya huduma za...
Hongera kama umechaguliwa, kama unataka kujua tarehe ya kuripoti click link hii >> http://www.wavuti.com/4/post/2013/10/majina-ya-waliochaguliwa-kujiunga-na-masomo-ya-vyuo-vya-afya-201314
habari zenu wakuu... Nilikuwa naomba kwa mwenye nao au mwenye uwezekano wa kuupata,. "WARAKA UNAOMRUHUSU MTUMISHI WA UMMA KUJICHAGULIA CHAMA CHA WAFANYAKAZI AKITAKACHO"..kuna wadau tunataka...
A school is a place that teaches knowledge, prepares children for their professional life and enables them to compete with the challenges they may face in future but sometimes, part of the...
Habari wana JF,
Tafadhali naomba yeyote mwenye ufahamu huo anisaidie kwa kunijulisha taasisi za elimu zinazoaminika ambapo naweza kujiunga na kusoma kozi niitakayo online. interest yangu ni...
Naombeni kujuzwa kiwango cha ada wanachotakiwa kulipa wote walochaguliwa na wizara ya afya kwa ngazi ya diploma na certificate tafadhali ikiwezekana na mahitaji ya muhimu sana chuoni.
bodi ya mikopo imetangaza kuwaonea huruma wale ambao hawajapata mkopo kabisa kwa kuwapa pesa ya accomodation na stationary.wadau hivi ni kwel au wanatupa moyo tu
Habari zenu wandugu,
Naomba nifaamishwe km udom wamemliza usaili kwa watu wa masters wa education na kama wameanza kusoma kwa wale wa fultym na kama je nikitaka nafasi saiv nitaweza kupata kwa...
Naibu Waziri wa Elimu, Phillip Mulugo
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imekunjua makucha yake kwa kutangaza kuvifuta vyuo 10 ambavyo havikusajiliwa na Baraza la Taifa la...
Tume ya Pinda yabaini madudu ya kutisha mtihani wa kidato cha Nne mwaka jana.
Uchunguzi waonyesha masomo ya sayansi yalihitaji saa sita kufanya somo moja.
Asilimia 41% ya walimu waliofanyishwa...
Wakuu 2saidiane mawazo hapa hasa kwa sisi ambao tulikua tunataman kusoma koz za afya lakn mwisho wa siku 2meachwa na vigezo tunavyo. Je, Private bado kuna chance?
bodi ya mlkopo imetangaza kuwaonea huruma wale ambao hawajapata mkopo kabisa kwa kuwapa pesa ya accomodation na stationary.wadau hivi ni kwel au wanatupa moyo tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.