habarini wanajamvi....
kusema cha ukweli mi nimepata chance mabbo host. bt mazingira na kila kitu cha uku... vinanizingua..
so kwa yeyote aliyepata m.campus na angependa au anatamani kuhamia...
Wadau hivi wizara ya afya inaweza kutoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo ktk ngaz ya diploma na cheti,wiki ijayo?au bado sana?mwenye tetesi kuhusu hili naomba atujulishe please!
Niliomba muhimbili diploma sikuchaguliwa,niliomba wizara hawajanichagua,nimejaribu kutuma maombi ya pili muhimbili private sponsership form 4 physics C,Biology C,chemistry C na form 6 physics...
Habari !
Hii fani kwa hapa Tanzania nafikiri vyuo vinavyotoa ni ATC kwa ngazi ya Diploma na NIT kwa ngazi ya degree/
Naomba ufafanuzi wake kuhusu soko lake la ajira kwa hapa kwetu Tanzania.. na...
Kumeibuka posts nyingi za kuichafua udsm kwa fujo sana.ikumbukwe kua hata hao wataalamu wavingine ni mazalia ya udsm.Ubora wa wataalam upo vilevile.kinachoweza kutiliwa shaka ni wadahiliwa mana...
Jamani nijuavyo mimi ni kwamba Shahada (Digrii) zinatunukuwa na Vyuo Vikuu pamoja na Vyuo Vishiriki vilivyo chini ya Vyuo Vikuu husika lakini nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini 'Taasisi ya Usimamizi...
Wakuu nimeikuta hii katika moja ya mtandao wa kijamii
" MAAJABU MENGINE YA NAIBU WAZIRI WA
ELIMU,MH MULUGO
Akiwa katika ziara ya kutembelea chuo cha ualimu
Tukuyu. Wakufunzi walimuuliza...
Wakuu habari zenu???
Nina shahada ya kwanza ya Business Administration, sasa nataka ni i-upgrade to MBA economics and finance, nahitaji chuo maeneo hasa ya moshi na kidogo arusha, kwa...
Mwenge ni chuo kikuu kilichopo mjini Moshi,tarehe 02 nov.2015 ni siku ya mahafali ya 5 ya chuo hiki,miongoni mwa wahitimu ni mimi,hivyo kwa niaba ya makamanda wote wanao hitimu napenda kuwaalika...
Hey all great thinkers!
Wana jf kutokana na wizara ya Afya kuzichelewesha post za selection naombeni mnishauri tu niende private au nisubiri kwa kuwa hawa jamaa cjui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.