Usajili wavyuo vingi tarehe za mwisho zinakaribia na kwa vile masharti ni kuwa mpka ada ilipwe zaidi ya nusu wengi watashindwa kujisajili kwa wakati na kupoteza nafasi hii ya kusoma kwa vile...
Ndugu wana jamvi adhimu la Jamii Forums nawasalimu. Ama baada ya kuwasalimu mwenzenu nina pendekezo moja. Linahusu wazo la memba wote humu kuchangia kiasi Fulani cha pesa tukawapa moderators wetu...
tangu tufike sa hizi ni mwezi hatujapata kitu sa hii ni haki kweli?! Mwaka wa 2 na 3 wamekaribia kumaliza boom lao... Tupeni chetu basi mnatuasili kisaikolojia
Orodha ya viwango vya mishahara mpya ya Watumishi Serikalini 2013 - wavuti.com
wadau naomba tufahamishane, kuna vigezo gani vinavyozingatiwa kutoka grade moja kwenda nyingine? ni hayo!
over!!
Kwa wale continuing student waliomba loan mwenye info imefikia wapi mpka xaxa maana naona kimya hata haileweki. Kwa wale mliokwisa fungua vyuo vp majina yameshatoka au km kawaida ya kibongo...
Wadogo zangu nawapongeza kwa wale waliochaguliwa na wale ambao hamkuchaguliwa msikate tamaa wapo watu walishatuma sana maombi atimae wakachaguliwa msikose kuomba tena mwaka ujao! AFYA SAFIII....
Kwanza hongereni kwa mliochaguliwa kuendelea na ELIMU ya juu kwa ya maana vyuo na taasisi za elimu ya juu na poleni sana wale mliokosa MKOPO ..(kwa hili nawapa pole ya dhati sababu nafahamu maisha...
kuna mdau mmoja hapa jf aliwahi kusema "matokeo ya form 6 yakitoka watu hawataonekana tena jf'',ni kweli kabisa,baada ya matokeo ya form 6,matokeo ya tcu ,watu hawapo kabisa,yaani target yao...
Kwa wanafunzi wa vyuoni si jambo geni sana kwa lecturers kuwa na mamlaka ya kufanya wanafunzi wafeli na kujitapa kabisa! Imekuwa kero lakini hakuna pa kuyapeleka.utamwambia nani?mwalinu anakuwa na...
Msaada wa mawazo wajameni nimechaguliwa UDSM kozi ya Bachelor of education in eary childhood education! Ofcourse ni nzuri na nimepata mkopo BUT nilitaka niisome ili miaka ya baadaye[degree ya...
CUHAS, mnaongeza idadi ya wanafunzi wakati mnajua fika kuna tatizo la malazi. Sasa watoto wanatafutana kupata vyumba chuoni. Wakatoliki, wacha wengine wafanye hivyo sio nyinyi. You are ruining...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.