Hostel ipo karibu na vyuo hivyo, Nauza nafasi yangu kwa mtoto wa kike, Nichumba cha watu 2. sehemu imetulia. kuna maji, umeme ,tv, jiko la gesi mnafanyiwa usafi. Kwa mwezi ni 65 elfu.. KARIBU
People Who Changed the World
1. Jesus Christ (c.5BC - 30AD) Spiritual Teacher, central figure of Christianity.
2. Thomas Jefferson (1743- 1826) 3rd President of US. Principle author of...
Ripoti mpya ya utafiti imebaini kuwa asilimia kubwa ya Watanzania wenye elimu ya darasa la saba na wale wasiosoma, ndiyo wanaokubaliana na utendaji kazi wa Rais Jakaya Kikwete.
Ripoti ya utafiti...
Kesho kutakuwa na msafara wa viongozi wa TCU na Wizara ya Elimu(MOEVT) utakaotembelea ofisi za DAAD, mjini Bonn nchini Ujerumani. Msafara huu utaongozwa na Katibu mkuu Wizara ya Elimu pamoja na...
Habari wana JF!
Naombeni ushauri wenu.
Kwa mtu aliesoma Bachelor Degree in Computing, ni course ipi ya Master inaweza kua bora zaidi kwake na ikaendana vizuri na degree yake ya kwanza.
Asante.
Fedha inayotolewa na heslb kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwaajili ya chakula na malazi yaani meals and accomodation alimaarufu kama bumu haitoshelezi labda pengine kama ingekuwa ya meals tu lakini...
Ndugu zanguni nawasalimu bwana yesu asifiwe na salaam alekum. Wenzetu watafanya maandamano makubwa j4 ijayo kwa kuwa tumekosa haki ya kupata mkopo na wazazi wetu wanalipa kodi. Wataongezewa nguvu...
ualimu(primary&secondary) eti una uhusiano na heading hapo juu..............nionapo hizo thread/post huwa nakata tamaa........ni maneno ya rafiki yangu ambaye yupo third year DUCE pale.....eti...
Amani kwenu wana jamvi...
Sote tulipitia mikononi mwa walimu...walimu wengine tutawakumbuka maisha yetu yote kwa ubora wao na kuwajibika kwao vizuri katika malezi bora na maadili.
Dunia ya...
Hii tabia ya mtu kukubali kukubeba mkiwa home mkoan afu akifika chuo anapata tamaa afu anabadilika sio nzuri haiezekan mtu umemsaidia mambo mengi kila cku unanunua mb ili achek mambo yake...
Msaada tafadhali kwa wale wa SUA ambao tayari mmekwisharipoti chuoni, tafadhali naomba mtufahamishe sisi ambao tutachelewa suala zima la usajili hapo chuoni likoje..
Ndugu mwalimu wa sekondari uliyemwenyeji wa biharamulo au unatoka maeneo ya karibu kama chato,katoro,bwanga,runazi,buseresere na geita na ungependa kufanyakazi maeneo hayo kwa kubadilisha vituo...
hello ndugu,
mi ni mwenyeji wa mwanza! jinsia ni me,
kama kuna me mwenzangu from n.i.t kutoka mwanza angependa tuishi wote ghetto pliz anitafute pm!
ni hayo!
Yego! Kwa nini ukaishi...
hii ni baada ya cozi kama,food science kukoxa watu,irrigation and water resourse,post harvest ingeneerings kuwa na nafasi,forest na mazngra nazo zmepungukiwa wa2..hii inatoa pia fursa kwa...
Tarehe 15/10/2013 idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dunda waamua kutohudhuria shule baada ya kujiamulia kukaa nyumbani.Shule hii ipo mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.