Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Vipi wana Jf kuhusu hichi chuo, elimu itolewayo na mazingira ya chuo kwa mjumla? Kwa anaefahamu tafadhali tujuzane.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jaman eh et mtu aliye soma bs of sceince in educa with chemistry na bs in educa with bios nan yuko juu soko la ajila??? Mbali na education wap aplication ya hizo cource
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wale wa udsm room inauzwa hall 1 iko ground floor.,..kwa jinsia (ke) tu! Kama uko tayari ni PM
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama kuna m2 mwenye uelewa kuhusu kugawiwa kwa BOOM ni ln maana wa2 wanahaha hasa waliowahi kufungulia vyuo kama mwenge
0 Reactions
6 Replies
2K Views
:::salutations:::: You're probably wondering why I'm doing in a face like this. I'm totally not impressed with the frivolous culture of not being serious that has dominated in here (JE). I have...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
masaada jinsi ya kuandika barua ya kubadilisha course ndugu zangu wa udsm. Natoka geology(conas) kwenda bcom(udbs)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani mimi ni former masters student wa hiki chuo,nimemaliza mwaka jana.chuo hiki kimekuwa na tabia chafu ya kuwatangazia wanafunzi wanaotaka kushiriki sherehe za mahafali kuchangia kiasi fulani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kilichonishangaza ni kwamba tcu wakati wanatoa tangazo la kuomba mkopo hawakutoa hayo masharti ya kuwa watakaopata mkopo ni wale waliomali form six au ftc/diploma miaka 2 kuja juu, na sio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hii ni baada ya cozi kama,food science kukoxa watu,irrigation and water resourse,post harvest ingeneerings kuwa na nafasi,forest na mazngra nazo zmepungukiwa wa2..hii inatoa pia fursa kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya sasa link hyo http://udom.ac.tz/index.php/undergraduate-fee-structure?download=143:revised-undergraduate-fee-structure
0 Reactions
10 Replies
6K Views
ada yake ipo vipi? masomo yanaanza lini? JE ni kizuri? kimesajiliwa? msaada tafadhari wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama uko dar, na unahitaji mtu wa discusion kwa ajil ya mtihan wa nov, cost,ethics,auditing,mis tutafutane kwa disc. Just ni pm namba yako ya simu,
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Hivi wakuu mnajua kuna baadhi ya halmashauri walimu wanatozwa hela za wino wa kuprintia tsd sasa hii big result inatokea wapi?
0 Reactions
2 Replies
958 Views
wale first year mlio nje ya yombo.,,mje maana kuna orientation.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa watu waliokosa mkopo baadhi wanafikiri labda wana mkosi au Mngu hawapendi ila ukweli ni huu UKIHITAJI MAFANIKIO NA UKAFANYA JUHUDI UNAFANIKIWA ILA KATIKA KUFANIKIWA UNAWEZA UKACHELEWA NI KWA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tatizo kubwa kuliko yote kwenye elimu ya Tanzania ni upungufu wa rasilimali watu na vitu kunzia shule za awali hadi vyuo vikuu. Mfano, vyuo vikuu vyetu vyote havina walimu wa kutosha na wenye...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
jaman nawasihi muombeni sana mungu yeye ndio muweza wa yote!!!!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa majina naitwa ISSA O ISSA nina imani wapo niliosoma nao humu ndani na wapo tunaofahamiana kwa namna moja ama nyingine Kimsingi lengo la kuanzisha thread ni kuomba msaada kwa wadau wote wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NI MAJINA YA PRIVATE CANDIDATES FORM SIX...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wakuu. Nlikuwa nataka kujua requirements ambazo TCU imeweka kwa wanaotaka kujiunga degree kutokea diploma, nikimaanisha GPA ngapi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom