Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Mda mrefu uwalimu umeonekana ni wa watu waliofeli mtihani na waliokosa mahali pa kwenda lakini nimefanya utafiti nikaona sekta ya afya ndo inaongoza kwa kuwa na watu wenye 0 na 4 katika mitihan...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kama umechaguliwa kusoma chuo cha muccbus na unaitaji chumba /getto au hostel ni Pm.. NOTE: muccobs hostel ni kwa wanawake tu, boys mnajitegemea/n'je ya chuo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Swift Record! Migrating Birds Fly Nonstop for 6 Months Content preferences Done By Laura Poppick, Staff Writer...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni siku tatu(3) zimebaki kwa wizara ya afya kutoa majina ya waliochaguliwa. Je umejiandaaje?
0 Reactions
62 Replies
10K Views
Kazi ya Ualimu ni kama CHUMVI kwenye MBOGA mara zote haikosi lawama, ikizidi utasikia chumvi imezidi! ikipungua utasikia chumvi kidogo! usipoweka ndo kabisaa Zogo! Ishakuwa karaha sasa Wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HIZO NI PESA ZILIZOTENGWA ILI KUWAKOPESHA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KWA WALE WALIOKOSA AWALI note kama hukupata incomplete application form na una vigezo mf,priority course,orphan and so far...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Msaada jaman kama kweli hili shirika linatoa mikopo kwa wanafunz?kama ni kweli linatoa mkopo wana utaratibu gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu. Mimi naingia mwaka wa tatu (male), najua kupata chumba ni nadra sana Hapa UDSM hasa kwa wasio mwaka wa kwanza. Hivyo kama kuna mtu, either first year au mwaka wowote aliyepata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
room allocation UDSM zimetoka ingia kwenye account yako ya ARIS ujue umepangiwa wapi. jinsi ya kuingia ARIS, username, registration # yako, password, sirname yako, bt dont forget to change your...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Katika hali ya kushangaza mwanafunzi mmoja jina naliifadhi ambaye alifanikiwa kupata degree yake kwa mwaka mmoja Tumaini university kwa njia za rushwa amefanikiwa kupata admission Mzumbe Dar Campus
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wana jf nimepoteza mawasiliano na mwalimu tajwa hapo juu(FESTO NDUNGURU) Anafundisha wilaya ya Singida vijijin shule nimeisahau tulikuwa tunataka kuanza mchakato wa kubadilisha vituo vya kazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
..watanzania hasa wale wa hali za chini tulishukuru kukuwa kwa sekta ya elimu hasa katika ngazi ya vyuo vikuu, ongezeko la vyuo binafsi lilipunguza idadi ya wanafunzi wenye sifa za kuendelea na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
first year najua mlikua na hamu sana mkayafahamu makazi na mlipochaguliwa.hali ikoje huko?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa kama majina ya diploma in nursing, clinical officer selikalini kama yalishatoka, plz naomba nijuzwe,npo serious, nina mdogo wangu yupo kitaa ila aliomba.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ilikuwa ni tarehe 09/10/2013 wakati wa kipindi cha AFRICA NOW. Pamoja na mambo mengine waliyojadili, Dr. Wilbroad Slaa aliulizwa swali na mtangazaji kuwa ni kipaumbele gani katika nchi ya Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kama unataka chumba cha kushare kwa first year nitafute 0757246917 chumba kipo fresh
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi nashangaa lawama kibao kwa "WALIMU" Mbona mikoa isiyo na Chakula Maafisa KILIMO hawalaumiwi?Mbona RUSHWA imekithiri TAKUKURU hawalaumiwi? Wagonjwa kibao hufariki daily lakini MADAKTARI...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
When god created the world the africans were given clock and european were given time.. Discuss with relevant .example.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
kkwa binadamu wengi hasa vijana damu huchemka.wengi mmetoka kwenu mmewaacha wapenzi ama wake.na kama unataka uhusiano kwa fresh students kua makini sana.unakuta wiki ya orientation kina dada...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakati leo dunia ikiadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike, bado kuna baadhi ya jamii za Tanzania na Afrika kwa ujumla, hazijampa mtoto wa kike fursa zote muhimu ikiwamo elimu. Mila na desturi za baadhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom