habali wanajf,kwa wale wafanyakazi,wapita njia,wanafunzi wa udsm...hapa chuoni nimekuwa nikiwaona baadhi ya wazungu wakizungukazunguka maeneo ya chuo wengine wakionekana ma class wakipiga...
Tunashukuru sana kwa watanzania wote wanaoendelea kutuunga mkono na kuikuza meetnawe, shukrani pia ziende kwa Radio Free Afrika - Mwanza, Tanzania kwa kuona thamani yetu na kutuunga mkono katika...
jamani kuweni makini na hii taasisi.
msikubali kutoa pesa zenu za form bila kuwatembelea hawa jamaa ofisini kwao kujidhihirishia wenyewe kuridhika na huduma wanayosema wanaitoa.
mimi binafsi...
Hali ya matumizi ya lugha ya kiswahili ilivyo sasa hasa kwa nchi ya Tanganyika, ambayo ndio inayotegemewa zaidi barani Africa kua ndio nchi inayoongea kiswahili fasaha, ipo hatarini hasa kutokana...
Jamani wadau naomba mnipe jibu. kwanini TCU iliikubalia st joseph campus ya arusha wakati hata majengo hayajatengamaa hostel hakuna na chuo kipo porini kweli dada zetu sikwamba watakuwa katika...
Harakati madhubuti kujikwamua kupata chochote ili kuchangia gharama za masomo ya elimu ya juu hivyo basi waweza nisaidia kupata tuisheni fii kwa kupachesi kamjengo haka kwa bei nzuri na maelewano...
Namshukuru mungu kwa kuwa mzima kwani naamini nitaendelea kupambana ili nifanikiwe maishani. Nadhani hapa ndo mwisho wa elimu japo ninatamani kuwasaidia watoto wengi wa masikini wanaoteseka kwa...
ndugu wana jamvi,mimi ni mojawapo ya watu waliokosa mikopo ya elimu ya juu.mwaka 2011,nilichaguliwa kujiunga chuo kikuu songea,shahada ya elimu.lakini niliacha masomo,baada ya kumaliza tu,semesta...
Nini maana ya Kufeli au kufa kwa moyo? (Heart failure) Na nini kisababishi?
Ingawa inaweza kuleta maana hiyo Lakini kufa kwa moyo haina maana kwamba moyo umeshindwa kufanya kazi au umefeli...
Ndg zangu wana wanazuoni,pitapita ya website ya vyuo vyetu tanzania,nikawa nimeangukia chuo cha st joseph university branch of arusha,nikakuta tangazo LINALO RUHUSU WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE...
Napenda kutanguliza shukrani zangu za za dhati kwa members wote,kwani kupitia safu hii nimefaidika na
kuelimika sana nina shida,mwenzangu alimaliza kidato cha nne 2009 matokeo hayakuwa mazuri...
Wakati wa mabadiliko ya katiba za maisha ya wadau mbali mbali umewadia,wenzangu na mimi bize kukusanya nguo/pamba hata kama za kuazima ili mje mtumkomeshe vibonde,.atakayevaa nguo yake mpya siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.