Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba wana jf wanijulishe waliosoma London School of Journalism/Economics kulekule London au kwa njia ya distance learning programme. Vipi ubora?
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Naomba kujua modules zinazolipa sokoni kwa sasa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu msaada wa hizo form nazipataje kwenye website yao, Please mwenye uelewa wa hizo form anisaidie
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Jaman mwenye taarifa kuhusiana na continuing student walioomba tena mkopo,vp ndo wametupotezea au?mana kimya kimezid
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Naomba Kujua Kwa Yeyote Aliepata Joining Instruction Form Au Karipoti Anisaidie Requirements For Admission.AHSANTENI.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo njian naenda udom naomben mnijuze je eti ni kweli hostel hazipokei wanafunzi kabla hawajasajiliwa?wajuzi wa mambo nipen ukweli
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Km kuna mtu kalipoti naomba nchek hapa 0763752357/0787752357 tufahamishane kinachojili
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jukwaa la elimu naomba kujua kama kichwa kinavyojieleza tofauti ya kusoma Law ya miaka 3 na 4.! Na umuhimu wake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wana sua first year tunaanza orientation next week tusijisahau twende tukapige mchimbo ...tujihadhari sana nimepita juzi nimeona mabango mengi sana ya ukimwi ....lastly kama tupo basi tujuane
0 Reactions
26 Replies
3K Views
The Africa Climate Conference 2013, organized under the auspices of the World Climate Research Programme (WCRP) and the African Climate Policy Center (ACPC), will bring together decision-makers...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
INVITATION TO PARTICIPATE IN GIS DAY ANNUAL EVENT GIS Day (GIS Day November 20, 2013 - Discovering the World Through GIS) is an International annual event for users of Geographic Information...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
If greenhouse gases continue to increase, climate models predict that the average temperature at the Earth's surface could increase from 3.2 to 7.2ºF above 1990 levels by the end of this century...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Kaul aliyotoa naibu wazir wa elimu juu ya wanafunz waliokosa mkopo inaonyesh ni kiasi gani viongozi wetu ni vichomi mulugo amesema kasungula kalikuwa kadogo ivyo kila mtu auze alichonacho kama...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nimekuja ungana nanyi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada kutoka kwenu wanajf ni lini first year wa degree wanatakiwa kwenda chuoni? Nikifungua website yao kuna sehemu wameweka important dates ambapo inaonesha wanatakiwa 21st, October...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
wanafunzi waliokosa mkopo wameamua kwenda kuomba nchi za nje, tumeamua kuanzia Marekani; tutaenda Uingereza na nchi nyingine tajiri
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari zenu wadau. nami pia naungana nanyi wadau katika kutafuta mwalimu(secondary) wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Mimi niko jimbo la vunjo(moshi vijijini) eneo la marangu natafuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Enyi wadau wa Elimu haya Madodoso ya Kuchangia mawazo ya Grades kwa O-level na A-level manayaelewa?,What is the problem in Tananian Education?is it the Grading system or what else could be the...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nashukru mungu kwa kuniwezesha kupata mkopo ingawa c mwing ntajinyima mie mtoto wa mkulima THOMAS MALALE KATUNGE on fb
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom