Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Eti wadau nidaidieni ni kweli kwamba ukisoma bed serikali wanachelewa kuwapangia ajira tofauti na wanaosoma BSC nisaidieni
0 Reactions
12 Replies
2K Views
leo mwaka wa kwanza udom wanaanza kuripoti. Udoso mmejipangaje kuwasaidia kama mlivyoahidi. Waliofika tayari chuoni watupe hali halisi mpaka sasa!!!!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wale wa statistics hivi hii applied statistics ya mzumbe na statistics ya UDSM zina tofauti gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
simu yangu ni 0783564059. Nasoma BAED,nimetokea BUKOBA,nina adabu na ninamheshimu kila m2.Nimejifunza combat karate,KARATE shotokan na GUJULU.Haya yote yanafanya niwe mpole na ukiniona utaamini na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilipata tetesi kuwa leo hii kungekuwa na open conference juu ya sakata la HESLB na wale tuliionyimwa mkopo elimu ya juu. Kuna yeyote mwenye taarifa kamili?? Matiku, Mkisyeli tunaomba mtujuze...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanadhamin SIASA, BIASHARA na BURUDAN ndo kuna upungufu huko nadhan ahahaa.. ukstaajabu ya flaun utayaona ya serikali Tz
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jaman kama kuna mtua anaifaham topic ya computer packages nahitaji link ninayoweza kupata tutorials
0 Reactions
0 Replies
810 Views
:welcome:KWA WALE NDUGU ZANGU WALIOCHAGULIWA CHUO HIKI, KAMA UNATAKA CHUMBA NITAFUTE 0654370515/ 0682836319/0684797109
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Upandishwaji wa ada kiholela bila kuangalia miundo mbinu ya shule zao ni kuingiza siasa ktk elimu.Naona viongozi wa jumuiya ya wazazi ni kuangalia fedha ziingiazo siyo taaluma.Ninyi viongozi kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilizani kuwa tayari mmepata taarifa kuhusu open conferance kumbe bado,, Lakini mda wote Viongozi wetu huwa wanatafuta mbinu how to defend themselves but n't how to solve the problem hii imekuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waandishi wa habari ni watu muhimu ktk maendeleo na ustawi wa jamii/nchi yoyote duniani.Hivyo ni muhimu sana kuwa na vyombo vya habari makini vyenye waandishi/watangazaji makini.Hakuna ubishi ktk...
2 Reactions
23 Replies
12K Views
Wadau chonde ntumien ili nkamilishe mishe pamoja sna
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu ipi ni kozi bora katika kuajiriwa na kujiajiri kati bachelor in accounting n finance vs bachelor in commerce??
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kaka na dada zangu wa jukwaa hili, nianze kwa kuwasalimu: za wakati huu? :A S-key: Ninaomba msaada wa link ambayo ninaweza nikavishusha/download vitabu vya fasihi ya Afrika. Nimetafuta sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza kuna mwanafunzi ambaye jina naliifadhi ambaye alifanikiwa kupata degree yake Tumaini University kwa mwaka mmoja amepata admission ya Masters a Degree Mzumbe university...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau, Nataka tujikumbushe jambo hili kwa sababu wengi tuliopita shule za msingi na hata sekondari kila shule ilikuwa na majina bandia kwa walimu wa somo la hesabu/hisabati.Kwa mfano pale s/m...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadogo zangu kwnza polen kwa msiba, hivi mmeishia wapi katika harakat zenu za kudai haki zenu ikizngatia luna ambao walikuwa na vigezo vyote vya kupata,kuna mbinu moja hiv nataka niwape...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Mtihani wa kidato cha pili unaendelea kitaifa,Walimu wanaosimamia mtihani huo wakiwa hawajalipwa chochote mpaka sasa na leo ni mwisho kwa shule zenye Masomo 9. Kwa kweli inatia huruma mwalimu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba wana jf wanijulishe waliosoma London School of Journalism/Economics kulekule London au kwa njia ya distance learning programme. Vipi ubora?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back in days wakati naanza first year pale centre for excellency nilipangiwa room na ma blaza waliokua 2nd year. Kwa kweli hakuna tabu mwanzoni niliyopata kama kupigwa exile daily utafikiri mtu...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom