Kwa waliomaliza certificate mwezi may mwaka huu! Walipotaka kujiunga waliambiwa watume maombi. Vijana walidownload matokeo wakaambatanisha vikapokelewa. Walipoanza masomo Chuo kikasema hakitambui...
Wana jf nimepoteza mawasiliano na mwalimu tajwa hapo juu(FESTO NDUNGURU) Anafundisha wilaya ya Singida vijijin shule nimeisahau tulikuwa tunataka kuanza mchakato wa kubadilisha vituo vya kazi...
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Dr. Joyce Ndalichako, Dr. Hussein Mwinyi, Dr. Mohamed Shein, Dr. Michael Kadeghe, Dr. Philemon Sarungi(Prof), Dr. Mgona sipakune Tulimumu, Dr. Maji marefu("Prof"), Dr...
Africa Climate Conference (ACC13) is organized under the auspices of the
World Climate Research Programme (WCRP), the African Climate Policy
Center(ACPC) and the University of Dar Es Salaam just...
Karibu asilimia 30 ya wanachuo( udsm) walofanya mitihan yao ya supp/special wamejikuta wakidumbukia kwenye kiitwacho carry over,source; mmoja wa wadau wa mambo ya elimu
Jamani mi nimekosa mkopo, lakini nimeambiwa na rafiki yangualiyekuwa amekosa mkopo kuwa amepata mkopo awamu ya pili kwa kutoa kiasi fulanicha pesa(ruhwa) kwa watumishi wa bodi.Je hii ni haki? vipi...
kwa wale wa mount meru university kuna room ya kukaa watu wanne karibu saana na chuo mimi ni mmoja wapo kwahiyo natafuta watatu wa kukaanao kwa maelezo zaidi nicheki kwa +255 767 182 142 sasa
Habari zenu wadau wa jukwaa hili??
Baada ya habari embu leo naomba tuangalie haya mambo wanayofanyiwa watanzania wanzetu tena wenye uhitaji wa kupata elimu.
Kwa kifupi tu nianze na...
Nitaandaa programu ya practical za kufoji kuanzia wiki ijayo, nahitaji vijana ambao wako serious maana nina muda mfupi mno wa kuendesha zoezi hili!! Kama upo tiyari niPM,.
Nahitaj kuachana na ndoto za engineering sio mchezo uko nina D ya phys,chem na mathe pia nina C ya bios na chet cha pre entry course in engineering pale DIT je ni chuo gan naweza kujiunga kwa...
You were not allocated higher
education loan for 2013/14
academic year for this
reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT
BUDGET EXHAUSTED
kumbe nilitakiwa kupewa ila ela wameshagawana dah inaniuma...
Mimi siwaelewi kabisa. Hivi hawa vijana siwanatakiwa kwenda vyuo mwezi wa kumi? Au inakuaje hapo? Bora wangesema mapema kwamba kidato cha 6 wanapumzika mwaka hili kwenda JKT kuliko kuwagawa vijana...
Jama mwenye taarifa hizo hapo juu anisaidie kwan nahitaji nimepata nafasi ya kenda songea ila cjapata fees structure yao ilivyo please naomba msaada wenu
Nitaandaa programu ya practical za kufoji, namaanisha kutumia njia fupi na ya uhakika zaidi huku ukiokoa muda wako kwenye chumba cha mtihani!! Hii ni kuanzia wiki ijayo, nahitaji vijana ambao wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.