Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hello,hope you all well and good,i did research about this 2 coarses but the information i found on various website actually i wasn't satisfied with it,so i decided to ask for your opnions about...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kwa wale wenye info za adiministrative(other cost) za Jordan university ni kiasi gani?sina access na net tafadhali
0 Reactions
18 Replies
2K Views
poleni na kazi jamani!!!!! naomba msaada kwa anaejua au kwa aliena na form ya kujiunga na chuo kikuuu cha ST JOSEPH cha DAR CIVIL ENGINEARING...... nitashukuru kwa msaada wenu...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
wa ndg hzo post za wizara ya afya hd lin au wamegoma m2 aangalie uxwa mwngn ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanasaidia wanafunzi wasiojiweza: 1. Wanachukua 30,000 kwa watanzania maskini. 2. Mtanzania maskini analazimishwa kutuma maombi kwa njia yenye gharama kama 12,000 (EMS) 3. Mtanzania maskini...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Daktari mmoja aitwaye Abuu aliingia hospital kwa haraka baada ya kupigiwa simu kuwa alitakiwa kwa ajili ya operesheni ya haraka sana.Moja kwa moja bila kupoteza muda Dr Abuu aliingia katika chumba...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu wanalazimikakufanya medical Examination wakati wanapojiunga. Hivi kwa uhalisia uliopo hivisasa kweli kuna mwanafunzi anayefanya hivyo vipimo vilivyoorodheshwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
eti kunamaneno kitaa kuwa eti bodi ya mikopo imetoa mikopo kwa baadhi ya wanafunzi waliokuwa wamekosa kwa mara ya kwanza??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,nimemaliza degree yangu ya kwanza!!ktk chuo kikuu cha DSM(UDSM)..malengo yangu ni kuendelea kusoma MASTERS ya project planning and management ambayo ada yake...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Samahani sana wakubwa nilikuwa naomba kama kuna mtu anajoing instruction ya Tumaini Makumira Mbeya aniattachie nidownload na anaejua ada za hostel aniarifu tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Je kuna njia gani za kufuata ili niweze kufanikisha hilo?? Nataka kuomba chuo upya mwakani. Je waweza nisaidia???
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Ni jambo la kusikitisha watoto wa form two ambao wameanza mtiani wa Taifa siku ya leo kitaifa,huko karatu shule ya sekondari wel wel mambo ni tofauti kabisa baada ya robo ya darasa kufukuzwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ndugu zangu wale wa mwaka wa kwanza kama umezoea kujisomea peke yako huko advance chuo ni sehemu ya kushere na kudiscus na wenzio ukijichimbia peke yako utadondokea pua na ukajuta baadae penda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jamani naombeni mnisaidie kujua ada ya shule ya Tusiime secondary ni kiasi gani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama umechaguliwa kusomea computer science naomba uniforwadie admission letter zao ulizotumiwa kwenye email yako(spam) email yangu ni:jamesmichaely@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana JF. Naomba kufahamishwa endapo mwalimu ameandika barua kwa ajili ya kuomba uhamisho kwenda mkoa mwingine. Na barua hiyo ikapitishwa na mkurugenzi wake, je akitaka kuipeleka ikasainiwe...
0 Reactions
0 Replies
11K Views
Leo wanafunzi wa kidato cha pili wameanza mtihani ambao utatoa picha juu ya nani aendelee kidato cha 3,nan akariri darasa na nani aende nyumban moja kwa moja.Wakati huo huo kwa baadhi ya shule...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika gazeti la habarileo la jumatatu Agosti 5,2013 mwandishi alimnukuu mkurugenzi wa mawasiliano wa heslb akisema"mpaka wakati wa kusitisha kupokea maombi kwa mwaka huu,wanafunzi 54370 ambao ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wana jamii wa jf heshima kwenu kwa ujumla....nasikitishwa sana na hiki chuo kikongwe hapa nchini kutumia utaratibu mbovu wa utoaji vyeti kwani vyeti vinachelewa sana takribani zaidi ya mwaka...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi ni Miongozi mwa Wanafunzi wa DUCE niliyefanya Mtihani wa SUPP mwaka wa tatu.Cha kushangaza Matokeo mpaka Leo hayajatolewa isipokuwa kwenye masomo niliyokamatwa wameweka _**To Supp.GPA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom