All Alumni, Staff, Students, Friends and Well Wishers of the University of Dar es Salaam are urged to participate in the 2013 Rotary Dar Marathon on Nyerere Day, Monday, 14 October. The events...
Wanajamvi nchi hii ina mengi sana ya kutafakari kiujumla na kwa kumwangalia mtu mmoja mmoja. Bila shaka kila mtu hapa mwenye umri usiozidi miaka thelethini anamjua vizuri Nyambari Nyangwine na...
Wanajamvi nmefanya upelelezi kuhusu hizi kozi mbili lakini sikuridhishwa nazo kama kuna anayezifahamu vizuri na kwa undani naomba anielezee kwa kuwa nimechaguliwa Udom Bcom in Management...
Wadau,wakati watoto kibao wa maskin wakiwa wamekosa mkopo mwaka huu,kuna rafiki yangu ambae ni mtoto wa kiöngozi mkubwa tu ktk serikali ya jk ambae alidisco chuo flan mwaka jana,lakin cha...
Nilimaliza chuo miaka kadhaa iliyopita na sasa ni mhadhiri chuo kimoja hapa TZ. Ukweli ni kwamba GPA nzuri (ambayo sasa mi naiita mbaya!) ndio iliyonifanya nishawishiwe na kushawishika kubaki hapo...
Nimepata mkopo lakini nataka kubadili course nikiifika chuo je huo mkopo wangu utaendelea kuwepo au utaondolewa? Msaada tafadhari kwa mwenye ujuzi wa mambo haya anitaarifu
Ndugu wadau katika maisha ya kufanikiwa daima lazima uwe makini na unayejielewa, ila katika hali isiyoya kawaida serikali imekurupuka na BIG RESULT NOW pesipokuangalia watendaji wakuu wa sekta...
NDUGU MWALIMU,LUSHOTO ni wilaya yenye kila kitu,hali ya hewa safi kabisa,biashara,kilimo,utalii,burudani na starehe,ardhi yenye rutuba inayofaa kwa kilimo na ujenzi wa nyumba za kisasa,maji yanayo...
nilichogundua applicant waliofanya mitihani zamani eg 2002,2004,2006,2003 bodi imewanyima mikopo maana kila anaetoa namba yake hapa inaonyesha amekosa,..poleni mungu atafungua milango mengine
MUHIMU SOMA
Wizara ya mikopo SAUTSO inawafahamisha wanufaika wote wa MKOPO kuanzia mwaka wa 2,3 na 4 kwamba kesho 7/10/03 kuanzia saa3:30 kufika maeneo ya ATM chuoni hapa wakiwa na ATM card...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.