Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari Wadau. Leo nimekuja kusisitiza jambo moja tu kwa wanachuo nalo ni kusoma kwa bidii na kuweka nia ya kupata first class coz najua ukilenga first class, upper second utaipata kwa bahati...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
naomba kuuliza hivi mwalimu wadegree yaualimu anaanza namshara washilingi ngapi?naomba anayejua anisaidie nasio kukejeliana nakutukanana kama hujui bora ukae kimya!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watanzania Wenzangu, Naomba tuanzishe utaratibu wa kuzitembelea mara kwa mara shule za msingi za umma ambazo ziko jirani na maeneo tunayoishi. Lengo kuu liwe ni kujenga uhusiano na ushirikiano wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba mnijuze. Niliichagua MUST kwa lengo la Electrical & Electronics Engineering. Lakini cha ajabu kuna link zao wenyewe wanaiandika kama Electrical Engineering tu. Swali nikihitimu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jaman eeh wale mlioenda jana bodi ya mkopo,, kwa ajili ya waliokosa mkopo nini kilitokea, tupeni ripoti. maana naona kimya sana
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanini yai la kuku liwe juu kuliko mayai ya ndege wengine? Je yai la bata,kanga,buni hayana vitameni sawa na la kuku? Naombeni majibu wataalmu wa vyakula
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kwa anaejua procedure za kuappeal juu ya kukosa loan anisaidie. Maana I have not secured mpaka sasa.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama hujabahatika kujua MAJIBU ya heslb weka namba yako hapa mwisho saa Nne kamili.....
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Haya nakaribisha maswali
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Jkt
Hivi kwa walioongezwa kujiunga na jkt awamu ya tatu mwisho wao wa kuandika barua ni lini.........maana mmmhhhhhhhhh....!!!!!!!!!!!!!!:A S-confused1:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waliochaguliwa Bachelor of Science in Computer and Information Management (TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA[TUMA]), admission letter mnazipataje kwa sababu kwenye website yao hawajaweka link ya BSCIM.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu wanajamvi. Jamani heslb ni tatizo kubwa kwangu. Wameniandikia sifai kupewa mkopo kwa sababu nimemaliza form six zamani 2009. Sasa hiyo fedha ya kujisomesha sina,inamaana habari ya chuo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman wana Jf mi pia ni muhanga wa waliokosa mkopo, nimechaguliwa udsm ba in aquatic envnromental science and conservation, mzee wangu ni mstaafu hana uwezo wa kunilipia ada, naomben mnisaidie ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natumaini wanajukwaa muwazima tena ni Jambo la kumshukuru Mungu. Ninae ndugu yangu alifanya mtihani wa Qualifying Test (QT) wa kidato cha Pili na alifaulu vizuri ilikuwa mwaka 2011, anahtaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi naona wote wanamakosa, hivi TCU hawakuona kwamba JKT wamesema AWAMU YA 3 ni mwezi huu wa 9? na je JKT hawakuona na tena walitangaza hadi walitangaza mpaka redioni vyuo vinafungua na waziri...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Karibun sana wadogo zetu mnaokuja pale...japo wengi wanakitambua ka chuo cha wauza sura au institute of fashion & modeling(hii ilikua zamani kuna kupga msulii balaaa..maana ukifell core subject...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
You were not allocated higher education loan for 2013/14 academic year for this reason:ELIGIBLE FOR LOAN, BUT BUDGET EXHAUSTED
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ambao hawajafanya booking ya vyumba at least nina Idea though mi mwenyewe sijapata..... Mwenye info zozote kuhusu hostel nzuri plz help me pia..!0753377881
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naomba niulize kwa wanafunzi mlichaguliwa kujiunga na chuo cha mipango - dom,,, vp mmepata mkopo?????
0 Reactions
3 Replies
4K Views
:help:Waungwana napenda kujuzwa kuhusu continuing students kama bodi washaoa majina wajameni.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom