Top 100 Universities and Colleges in Africa by the 4icu.org University Web Ranking
1 University of South Africa
South Africa
2 University of Cape Town
South Africa
3 Universiteit...
habari zenu wana mzumbe, naombeni kujua lini mwisho wa kulipa tution fee.halafu kwani tunalipa kila kitu kupitia akaunti ya chuo au vingine tunalipia main camp. KM ada ya MUSO,hostel fee n.k...
Yawezekana ulishawahi kufanya hivyo au kusikia toka wa wanaSayansi na wengineo! Ukweli nikuwa namba ya kiatu chako inaweza kukuambia umri wako!
Sasa fanya hivi;
1. Andika namba ya kiatu...
Iwapo nikibahatika kupewa nafasi ya kuonana na mh. Rais jk nitamshauri hv, mosi, avunje uongozi mzima wa helsb kwa sababu hauna tija nzuri kwa maendeleo ya elimu ya juu na unafanya kazi ya...
kama umeandikiwa not secured jamani kesho saa 4 twendeni kwenye ofice za heslb ili kuonyesha kua hawajatutendea haki zetu mkopo kwa mwanafunzi wa chuo ni Lazima...!!! Kwa nini course ni priority...
Leo ni siku ya Walimu duniani ambayo inalekewa kila mwaka octoba 5,ambapo mwalimu wa Tanzania anachangamoto,karibuni Walimu kujifariji na kujipa moyo wakati huu ambapo mnaidai serikali ya Tanzania...
Habari zenu wakuu naomba ushauri kwa anae elewa vizuri hizi coz mbili Transport & logistic na procurement & logistic ipi coz nzuri zaidi yenye ajira ya haraka kwa ngazi ya degree hasa kwa mie...
basi tena mpaka mwakan,lakn jana nimejaza fomu wizarani. Ya malalamiko.Form Four Index-No
:
S****.0097.2010
Institution
:
UDSM(UDBS)
Course
:
BOCA
You were not allocated higher
education...
Naomba kwa wenye uelewa wa kozi ya logistic and transport management, anijuze katika upande wa market pamoja na sehemu ambazo mtu huyu anaweza kufanya kazi au kujiajiri.
Asante.
msaada kwa wenye ufahamu pale udsm ivi kubadilisha course from geology to bcom ni lazima ufanye registration pale geology kwanza then mchakato wa kubadili uanze?
Jamani mie sielewi hivi vyumba vya chuo cha ISW Dar. vinatolewa muda gani. Maana hata chuo hakijafunguliwa vimejaa. Hii ni kutokana na maelezo ya wahusika tuliowakuta chuoni tulipoenda kuchukua...
habari ndugu zangu,
Hivi bodi ya mikopo wanatoa mikopo kwa vyuo vya nje kama Uganda (e.g. Makerere), Kenya, Zambia nk.
Tafadhari mwenye taarifa naomba anisaidie, ni kwa masters na PhD.
Ahsante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.