Following the students demonstration against being left out of the loan scheme, the government has directed the Higher Education Students' Loans Board (HESLB) to deal with the issue, but HESLB...
Jamani mimi kidogo uelewa wangu ni mdogo katika mambo haya.Nilkua naomba kufahamishwa juu ya kozi bora katika art ambayo mtu akipasua vizuri mtihani wa acsee inamfaa kusomea.Ni hilo jamani,sisi...
Hello Sir/Madam,
You have been identified as a key person to be a participant in my master's degree research survey process.
This survey is intended to gather data for the research titled "...
habari wadau. Inamaana mi pamoja na kuchaguliwa Mechanical Engineering mkopo ndo nimekosa au kuna jinsi naweza kupata? Naona dream ya chuo inataka kupotea kabisa. Naombeni msaada wadau
Wadau wa JF, naomba kuwaulizeni kuhusu waombaji wa vyuo vya afya kupitia tangazo la serikali la wizara ya afya na usitawi wa jamii. watu tulituma maombi siku nyingi lakini naona hakuna majibu...
Wakuu kwa anaejua
Diploma holder wa Procurement akianza kufanya mitihan ya board (PSPTB ) atachukua mda gani kumaliza? Na cheti cheti ktakuwa equivalent na mtu bachelor degree ama vp, AU akitaka...
Habari wana Jf!
Nina mdogo wangu, amepangiwa mkopo katika chuo tofauti na alicho chaguliwa.
Je? ni taratibu zipi za kufata panapo tokea jambo kama hili.
Asante.
Hii inatokana na
-1st year kibao kukosa mkopo...
-Bei ya msoc kupanda bila wadau kushirikishwa..
-nauli za shato kupanda na uongozi uko kimya tu.
-kukosekana kwa usalama hasa mida ya ucku...
Nimeipata hii kutoka ndani kwa mtu wa karibu amesema wote tunatakiwa kuacha majina yetu na screening itafanywa upya ili kuona kama kuna mtu ameonewa. Mtu atakaye pata mkopo ni yule ambaye...
Habari zenu!
Wakuu, nataka kufahamu hizi taasisi mbili yaani MOEVT na TCU zinashughulika na nini mbona wapo kimya na hawatuoneshi kama kuna jitihada zozote za kupunguza makali ya "did not scure"...
Habar wana jf ,yan tangu wamepga necta ni wao tu humu ndan page nzima imejaa tcu na heslb sasa mpumzke na sisi tuanze kutupia vtu vingne ni hayo tu..nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.