Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kama kuna mtu yeyote anayejua jinsi ya kupata admission letter UDOM, anisaidie.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Ukisoma hii digrii ina ajira kwel kwa hapa tanzania, na ni maeneo gan unaweza kufanya kazi? Msaada tafadhari wana jf ,nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
When it comes to high paying jobs, you might immediately think of people who are in the glitz and glamour of show business and sports. However, it was found that these people are not...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ebana kwa mimi wa DIT na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
7
0 Reactions
1 Replies
909 Views
Habari zenu wandugu --Husika na kichwa cha habari hapo juu, kama tulivyoazimia kesho kwenda kudai haki zetu za msingi, Yafuatayo tunapaswa kuizingatia na kukubaliana ili kuweza kufanyikisha:-...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
km unawaza ntumie kwny pmatimba3@gmail ntashukuluckinooomaaa!!!!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu wanajamvi naeleza haya kwa masikitiko makubwa sana kwa tabu zinazowapata baadhi wa wanafunzi vyuoni. vyuoni kuna baadhi ya walimu wanawafelisha wanafunzi kisa wanafunzi hao wameshindwa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
NITAFUTE HAPA mryusuph@gmail.com au NIIBOX NIKUPE MBINU AMBAYO WENGI HATIMAYE WALIFANIKIWA.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shikamooni wakubwa zangu Wengine habar zenu!!!!! Mm ni bint yatima Ambae ni mwanafunz wa Open nachukua social work naingia mwaka wa pili mwez octobe Mwaka jana nilijaliwa kupata ada kwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani kawa anaejua mkwawa univesity aka muce anijuze haya yafuatayo maana nimechaguliwa huko.. 1 kuhusu hostel zipo za kutosha? 2.kwa mwaka hostel ni sh ngapi? 3 chuo kipo sehemu gani iringa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Jamani inaniuma kweli kukosa mkopo awamu ya pili tena. Sijui nifanye nini, nisaidieni jamani?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu kunifafanulia hasa kozi ya aquaculture na soko lake la ajira ntashukuru kwa mchango wenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wana jf napenda kuwajulisha kuwa baadh ya majina ya wanafunz waliopewa mkopo ni wale wa st.joseph university tu so wale wengine kesho wizarani mapema tu hadi paeleweke.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari ndio hiyo hapo wanatakiwa kuripoti kuanzia tar. 3 october paka tar. 6 october..! kama unataka kuahirisha utaratibu ni ule ule barua.. source kwenye website ya jkt..! nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Chondee nsaidien wapendwa mnitumie pmatimba3@gmail
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman mm n mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ifm pale sasa natokea mkoani na hostel nahisi kukosa sasa kwa anaejua vyumba vilivyopo makumbusho na bei kwa mwezi anitajie na aache no yake...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana jf peruzini ktk website ya bodi ya mikopo majina mengine yametoka leo kwa waliokosa mwanzo hasa watu wa diplima.....
0 Reactions
75 Replies
8K Views
naomba kufahamishwa kwa wale waliosoma bachelor of science general udsm baada ya kumaliza unafanya kazi gani au namaanisha unaweza kuwa nani, na unaweza kufanya kazi na taasisi gani? naomba majibu...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Hello i would like to know what does it take to get the First Class with a higher GPA from those who archived it,also views of other members are allowed..Note is it true that most people who made...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom