Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nenda kwenye email yako utakuta username na password ya kuingia kwenye profile yako ya chuo [suasis] hapo uta downlod addmissin letter na student invoice pia utaona registration namba, over.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba mnisaidie kuangalia mkopo jina pascal john matimba s1529/0037/2010
0 Reactions
2 Replies
4K Views
naomba kuwakaribisha wanaopenda kujisaidia na kusaidiwa wanapokwama ili wainuke. ni wakati wa kuzungumzia namna ya kujinasua kwenye kilio cha ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo vikuu. kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Share kipengele cha course unayoiweza na m1 inayokutatiza hasa kwa upande wa Mathematics & Statistics na nyinginezo. Usisahau kutoa ushauri ambao unafaa!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
karibun sana hapa SUA ila mje kusoma maana hapa kudisco ni kawaida kuliko kuendelea.kwa taarifa tu rais wa chuo mwenyw amedisco so chuo hakina rais. Alaf naomben mniambie kwa waliopata mkopo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jkt wameongeza tena majina mengine ni wale ambao tar 28 hakuepo herufi kuanzia K had Z. Majina haya mapya yameambatanishwa na yale ya jana ya wanafunzi walopata 4 na 0.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
jaman hawa watu wametoa join instruction?
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Msaaaada third selection tcu mkopo had lini na kulipoti vyuoni lini mie st joseph campus Arusha
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Rejea mada twajwa hapo juu kuhusu mada hiyo ya uuguzi.natafta chuo chochote kile kiwe na kozi ya uuguzi.unaweza nisaidia kama unavijua pia karo yake.sijalishi cha serikali au binafsi.ntashukuru sana
0 Reactions
15 Replies
10K Views
wakuu leo ni tarehe tatu mwezi wa kumi mshahara wa mwezi wa tisa hatujapata hivi serikali wanadhani sisi tunaishi vipi? nauli za kwenda huko shule tunatoa wapi? haya ni mateso makubwa sana
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau mimi nimechaguliwa chuo kikuu mlimani. Chaajabu nimeomba mkopo lakini nimepewa zero kabisa yani kwa ufupi ni hata hela ya kula wameninyima. Hapa nilipo familia tunamtegemea mama na nina...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wadau nisaidieni et ukitaka badili kozi tcu sasa hivi inawezekana?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi nmefanya upelelezi kuhusu hizi kozi mbili lakini sikuridhishwa nazo kama kuna anayezifahamu vizuri na kwa undani naomba anielezee kwa kuwa nimechaguliwa Udom Bcom in Management...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi wa jf Katika hali ambayo CHADEMA wamefanya la maana Mpango wao wa kutaka kubeba zigo la serikali kuwapatia wanafunzi pesa ya kujikimu. Kiongozi mmoja ambaye pia ni Mbunge wa CHADEMA...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa sisi tulioongezewa jkt na kuambiwa tuandike barua je hizo barua tunatuma kwa njia ya posta au tunapeleka makao ?
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Kwanza na penda kutanguliza salaamu kwenu wadau wa JF.Napenda kuwa juza kwa wale walio chaguliwa kwenda chuo cha uhasibu yani na maanisha TIA, Ebu ni eleze sifa za chuo hicho kwanza ma lecturer...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajamii.. Nipo mbele yenu naomba ushauri ili niweze kufanya selection iliyo sahihi. Nasoma BA ya ECONOMICS nipo mwaka wa 3, natakiwa fanya selection kati ya hizi 1.AGRICULTURE ECONOMICS...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
jamani hawa the gurdian nao wanakwaza,sababu gazeti la leo linadai HESLB wamedai kufunga milango ya mikopo.Lakini tusikate tamaa twendeni huko huko hadi kieleweke
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa hali ya kawaida haiingii kichwan eti bil 306 zilizotengwa eti zimeisha,na kwanza walisema watatoa mkpo kwa mwaka wa kwanza kwa wanafunz 35000 na mbona wametoa kwa wanafunz 29750 je idad...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom