Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

what happened for diploma holdes when comes to loan allocation?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello Sir/Madam, You have been identified as a key person to be a participant in my master's degree research survey process. This survey is intended to gather data for the research titled "...
1 Reactions
3 Replies
883 Views
Habari zenu wanaJF Ningependa kufahamu au kupata taarifa kwa yule anayefahamu,.!! Maombi yanayotumwa kupitia wizara ya afya kwa ajili ya kozi za afya na kuchaguliwa chini ya wizara ya afya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuhusu wanafunzi walioongezwa jkt naomba mniangalizie pascal john matimba na Nuru iddy
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Basi kama mjuavyo mimi ni mgeni humu jf kwahiyo niombe radhi kama hii post haitakuwa mahali pake.,, Bas after college nikaamua kutafuta tempo wakati nikisubiri serikali yangu sikivu. Mungu mkubwa...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
msada wa st joseph campus ya Arusha kuhusu hostel,fees, na chuo kinafungua lin
0 Reactions
0 Replies
765 Views
utaratibu wa kubadilisha kozi college moja kwenda nyingine msaada plz
0 Reactions
4 Replies
970 Views
jamani kama kuna mtu wa sekomu naomba aniambie mazingira vp hapo kunachangamoto gani?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani mikopo imetoka lakini mimi sijajua nina ngapi naomba mwenye kunisaidia basi S0586/0134/2010
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Chuo cha Muhimbili ndicho kimekua cha mwisho kutoa selection ,wametoa ijumaa iliyopita,tar20/9/13, wanasema reporting tarehe 07/10/2013, barua za admission hazijatoka, hivi wanafikiri watu wote...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
bodi ya mikopo
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Excellence Management International Co. Ltd, informs all college and university students that there will be training program known as Practical and Simplified Research Report writing which cover...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Je kwa sisi amabao hatukua na mkopo last year lakini tukajikongoja kwenda chuo wenyewe, na mwaka huu tukaomba mkopo , majina au matokeo yetu yako wapi coz kila alieomba hajapata matokeo yake...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Mwenye uwezo wa kuingia majina yalipo anisaidie jamani
1 Reactions
6 Replies
1K Views
habari hapa nilipo nipo na zaidi ya wanafunzi 40 ambao wanazitambua haki zao za msingi na madai maana tumechoshwa na majibu ya kijinga na ya kiupuuzi kutoka kwa bi.dada anayejiita eti meneja wa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
jaman leo ilitubidi twende Wizara Ya Elimu sehem ya kwanza nmeanzia kwa Waziri wa Elimu na nilikaa faragha na MKURUGENZI WA ELIMU YA JUU na KATIBU MKUU ILI KUJUA NI VIPI WATU WAMEKOSA HUKU HANA...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
administration ya chuo kikuu cha mwenge hatimaye yaamua kuwasaidia wanafunzi wake ambao wamekosa mkopo huku wakikizi vigezo vyote ya kusecure mkopo. Wanafunzi hao wametaarifiwa kuwa na uhakika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kama umechaguliwa sua hiyo programme nitafute ukija nikupe material ya semister hizo mbili. karibuni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
pongezi za dhati ziwaendee wanaharakati wote waliojitolea leo kwenda wizara ya elimu na ufundi ili kutetea na kujua nini hatma ya elimu yao pamoja na mikopo Pili niwashukuru waandishi wa habari...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Tafadhalini wana JF naombeni yeyote anayefahamu zinapoweza kupatikana past papers za kumaliza darasa la saba anisaidie nazihitaji sana.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Back
Top Bottom