Habari zenu wa jf mimi ni member mpya nataka kujua nin hatma ya wale tulioandikiwa not secure 4 loan ndo 2mekosa mkopo au bdo wanatufikria mwenye uelewa anisaidie jaman?
Wakati wa nyerere,,,watu wengi walinufaika na elimu ya juu,,,watu hao ni viongozi wetu walioko madalakani wakati huu,,toka juu mpaka chini,,,kipindi hicho nchi hii ilikuwa inaendesha uchumi wake...
Moja ya watumishi wa HESLB amenukuliwa akisema kuwa wengi ya waliokosa mkopo wana sifa hizi1. Wamesoma private schools eiher o-level au a-level.2. Ni equivalant applicant yani wana diploma.3...
Kwa waliokosa mkopo wataweza kweli kujisomesha wenyewe jamani...na kama tunavyo fahamu hali halisi ya Watanzania wengi kiuchumi.......:A S-confused1::help::frusty:
Leo ndo nimeamini kuwa free manson wapo na kazi zao zinaonekana mansonly wanaamin katika mwanamke mjane anaitwa kabala kulingana na kitabu kinaitwa the mansonly tegris na ndio maana wanaitana...
Jamani vijana mjiandae kisaikolojia ili ucje katisha maisha kwa kukosa mkopo.
Tujifunze kitu na tujue wazi serikali haina nia ya dhati na hatima ya Elimu TZ.
Ni muda muafaka kuutathmini upya...
NI KAULI KATIKA JAMII inayoendelea kukumbatia mfumo DUME.
1.wengi bado wanaamini wasichana ni mbumbumbu darasani.
SI KWELI TENA WENGINE WANACHACHAFYA MIDUME KIBAO,primary,secondaryna hata chuo...
Naomba kusaidiwa mlolongo na taratibu za uhamisho kwa shule za a-level, nina Dogo anasoma tarakea kidato cha tano lakini mazingira ya baridi yamemshinda na ninatarajia kufanya taratibu za...
Naomba kuuliza hizo joining instructions ni lini zitapatikana maana kila ukiwapigia simu wanasema kesho ? Na pia katika yale majina ya walochguliwa wamesema inatakiwa ulipe ada kabla ya 5. October...
Kwa mujibu wa sheria inayosimamia mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, rufaa ni haki ya mwombaji yeyote ambaye atakuwa hajaridhika na matokeo ya kwanza, lakini jambo la muhimu la kujiuliza kabla...
HAPA NIPO HESLB tumeshindwa kukubaliana nao maana wanadai watu wa appeal tena SWALI vyuo vimefunguliwa hiyo REGISTRATION hapo chuon utatoa wap pesa?na baada ya ku-appeal ndani ya siku 90 ndio...
Habari zenu wakuu.....nauliza hivi kwa mfano umepewa mkopo na heslb.....,labda kwenye tuition fee ya 1500000 wakakulipia milioni 1 je ile laki 5 ambayo imebaki ni lazima uanze kulipia nusu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.