Jamani mimi nimechaguliwa awamu ya 3 jkt lakini sina kabisa mzuka wa kuandika hizo barua za kuomba kuahirisha kwenda jkt nyie kwenu imekaaje wakuu?kama mnanishauri niandike naombeni pia mnpostie...
secure=lack of supportive criteria,,didn't acquare =hujapokea,,,:xo wale ambao course zao ni priority mnaombwa ku-appeal ila majibu yatatoka baada ya siku 90 haya ni majib ya mhasibu Joyce Mgaya...
Nanunua room au kama unaweza kunibeba nitalipa gharama zote za room kwa mwaka mzima (1st and 2nd semester). Kwahiyo kama hii post inakuhusu niPM tuwasiliane vizuri ila kama hii post haikuhusu...
Nimefanikiwa kufungua lakini nimeingiza namba nikaambiwa you did not secure loan for 2013/2014. sasa cjui ndo nimekosa na kama hvo inamaana na boom na accomodatioin nimekosa au. naomben msaada!!!!!
Me nipo hapa ofisini kwao yani jamaa wanatoa majibu marahisi kweli. Eti wanasema kukosa mkopo ni kawaida tu.afu wanasema wao na tcu hawana uhusiano na zile priority course za kwenye guide book...
Nashindwa kujua serikali ina malengo gani kwetu vijana wa Tanzania. Je ni kutupa ugumu wa maisha na kutaka tuendele kuichukia CCM? Au wanataka kuongeza idadi ya makahaba au tuuze unga?
Vijana...
Akizungumzia migogoro, fujo na uharibifu wa mali, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, alisema inachochewa na kauli za baadhi ya wanasiasa na asasi za kiraia...
kwa kifupi, chuo hiki huwa kinadaganya uma kupitia mwongozo wake unaotumwa TCU yaan, PROSPECTUS kuhusu swala la ada,kwa mfano mwaka jana schedule waliyotuma tcu ilionesha kuwa kitivo cha elimu...
Umoaja, mshikamano,upendo na amani ya nchi ni pale rasili mali za nchi zinaponufaisha wananchi wote, wakulima, wafugaji,viongozi, yatima,wajane, n.k ; Huu utaratibu wa mikopo ni wa kuligawa Taifa...
Naona vijana waliokosa mikopo wanawatupia lawama board kwa kushindwa kuwapa mikopo ili waweze kusoma, najua wengi wanafanya hivyo wakiwa na uchungu toka moyoni kwani kuna wengi watakosa fursa ya...
"The Biblical Money Code"
Discover the Lost Investment Principles of Scripture to go from
being a Saver . . . to an Investor . . . to a Philanthropist...
Habari wana jamvi! Mi ni mdada nitokaye ktk familia yenye kipato cha kawaida. Natarajia kujiunga chuo kikuu mwaka huu, Hali inakuwa tete kwani nimechaguliwa chuo chenye ada kubwa nahofia kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.