Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

hivi kwel HESLB wanaweza kuzima watu wote hao waliokosa mkopo maana wengi tu CHUO kwa mwaka huu itakuwa basi kwan ile idadi waliyosema wanatatoa mkopo 35679 leo hii imekuaje wameshindwa kufka huko...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
ipi kati ya izo ni rahisi kuisoma, kujiendeleza, na pia inaweza kumtoa muhusika katika maisha yake ukilinganisha na salary zao.Na ipi unamshauri mtu akasome?.2pia maujuz yako unayoyajua kati ya...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Ufafanuzi Mbona kwenye meal & acomodation kuna walìoekewa 2.3 million wakati wengine 1.8 million. . .inamaana kuna wanafunzi wana matumizi makubwa zaidi ya wengine?? Na wametumia kipimo gan?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wadau,,nimechaguliwa udom bachelor of education in guidance and couceling. Lakini nimekosa kabisa mkopo toka loan board. Nasikia huwa kunakuwa na ku appeal bodi. Naombeni mwenye kujua...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
jaman naomba kuuliza kwa wanachuo wa udom mwaka wa kwanza ni lazma kulipa ada iliobak kama umepata mkopo nusu au had ufike chuon?
0 Reactions
1 Replies
798 Views
chuo kikuu cha udsm cha toa majina mapya ya firt year haya hapa. UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM OFFICE OF THE DEPUTY VICE CHANCELLOR – ACADEMIC DIRECTORATE OF UNDERGRADUATE STUDIES UNDERGRADUATE...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
hivi wote 2jiulize mwanzon pale 2nafanya maombi bod walisema watatoa mkopo kwa mwaka wa kwanza kwa wa2 35,000,lkn hatimaye imetoa kwa wa2 29,745,xa swal 2jiulize wote je zile bil 306 ndo zimeisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza,,,ongera kwa waliopata.lakini kitu cha msingi ni kujua kwamba fakati gani ulikuwa umechaguliwa,,,na je ni priority?maana unapokuwa unafuatilia ususan ukienda bodi hayo ndio maswali utakayo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Waombaji wa mikopo 324 inawezekana kukosa mikopo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo walioambiwa wapeleka nyaraka muhimu ambazo awakuambatanisha awali hawakufanya hivyo sababu nyingine ni...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
haya majina ambayo wametoa bodi ni kwa wanaoanza mwaka au ni kwa wote hata ambao mwaka jana walikosa na kutuma tena mwaka huu kwa sababu mimi mwaka jana mimi nilikosa kwa sababu kuna vielelezo...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
mtu yeyoyote mwenye info za body plzz tupia hapa nasi tuzipate
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kama hapo juu inavyojieleza jaman majina ya waliopata room main campas dodoma yapo kwenye web yao sema nimeshindwa kuyatupia humu kwa sababu net inazingua kuyadownload!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu husika na mada tajwa hapo juu kutokana na majanga yaliyotukumba first year kadhaa mwaka 2013/2014. Barchelor of science in urban and regional planing 2po wangapi wa index number did...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Heshima! Nnaomba msaada namna ya kuweka daraja kwenye maksi za mtihani kwa kutumia COMPYUTA nnatumia excel 2003 & 2007, alama zangu ni A=81-100, B= 61-80, C=41-60, D= 21-40, F=0-20. Mola...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana nilimtembelea jirani yangu ambaye amehitimu hivi karibuni udom, shabaha ya kutembelea ilikuwa ni kupata 'machache' kuhusu udom kwasababu nami ni mwanagenzi mtarajiwa. Aliponiona tu akaniuliza...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
kwa wale walioko chuo hiki au yeyote mwenye msaada wa taarifa. Kwenye join kuna maelekezo kuwa ili upate usajili hapo IFM ni lazima ulipe 1,150,000 mi naona kama hii ni hela kubwa sana kwa kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nacte wamenchagua teku,mkopo nmepata lakn jina silioni kwenye web ya chuo.USHAURI
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna urasimu hapo jamani tz lets wake up its our right:disapointed:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndg zangu nilidhani ni hulka ya vijana tena wa elimu za juu kuichukia ccm,kumbe wengi wanahoja binafsi juu ya hatima ya maisha yao..nimesoma shule ya msingi nansio,secondary nsumba,high school...
2 Reactions
78 Replies
6K Views
JAMANI HALI SIO HALI KWA MATOKEO YA HESLB HADI SASA WATU 5 WAMEPOTEZA MAISHA KWA 7B YA KUKOSA kuna mmoja ni mwanafunz wa Mirambo,Lugoba sec(2),Ngaza girls na Kibiti yote ni matokeo ya heslb na...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom