Wakuu kwa utafiti niliofanya nimegundua kuwa,shule bora za serikali na kombi wanazotoa kwa boys ni ,Tabora boys>>HGL,PCM MZUMBE>>HGL ,PCB ,KIBAHA>>PCM,ECA&CBA ,ILBORU >>HGL,PCM ...
jaman naomba msaada wa mchanganuo wa mahitaji na jumla ya ghalama za fedha ktk chuo kikuu st.joseph nakama mtu anatetes zozote kuhusu joining instructions.
jamani najina Ya Second Round Robo tatu nzima wamemwagwa IFM na Hawakuichagua wengi wao....
Hii inaashiria IFM ina Mapungufu kidoogo.
na wengi waliotupiwa wana tokeo la Kuyumba yumba kana...
Naomba kujua masomo yake yako vp kwa ujumla,ajira zake na majukumu yake,pia mahali husika pa kufanyia kazi au kupata ajira ni wapi.. na je coz hii inalipa au ndo inaongoza kwa kuweka watu mtaani...
Kwa heshima na taadhima, ningependa kutoa maoni yangu, kuwa, chuo cha mwalimu nyerere ingepandishwa hadhi na ikawa MWALIMU NYERERE UNIVERSITY. Kwa kuwa imeanza kutoa kozi mbalimbali. na hiyo...
Kama topic inavyojieleza
Mwenye upeo anisaidie hatua za kufuata ili kuahilisha masomo ma uapply tena next year maana nimeachwa na H.E.S.L.B na siwezi kumudu hata nusu ya gharama zinazohitajika...
Jamani kuna continuous applicant yoyote aliyekosa mkopo kwa mwaka jana na akaomba mwaka huu ambae amepata mkopo?...Ama Loan Allocation zilizotoka ni kwa first year peke yake?...nawasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.