Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari za usk waungwana. Naomba kwa mwenye ditel za uhakika ni sababu zipi zimepelekea tukose mkopol? Je ni pesa zimekwisha? Je tunanuksi na hvt tukaoge maji ya baharini tutoe nuksi hizo? Au ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwaka huu wametuvuruga vya kutosha sana......Kuanzia kuchelewesha matokeo......tcu nao wakatuzingua.....heslb wakatuzingua na sasa ni zamu ya jkt ...............:frusty:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hadI ker0 jukwaa hili tangu mwezI jana? kila siku post zna0ng0zana kuhusu mikopo by the way mtu anakuta previours post ambayo inajibu maswali yake but anaanzisha nayeye kuulza hayo hayo asbuh...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
www.olas.heslb.go.tz
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilipata chuo st francis morogoro bachelor of doctor in medicine,ckuwahi kupata tatizo lolote ktk kujaza form na majina waliyoyatoa ckuwemo bt leo nina log in kuangalia loan status naambiwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naomba nichekie mkuu kama nimepata mkopo
0 Reactions
5 Replies
927 Views
Habar wana jf natumain mu wazma ,nlikuwa naulza hiv inawezakana kwa mtu aliyeomba mkopo mwaka jana ambaye alikosa au kupata kidogo aka apeal tena ili aweze kupata kwa ajil ya ada akapataa ...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kabla ya transfer nilichaguliwa DUCE Baed. Ila Nikaomba transfer ya kwenda NIT. Tena nikapewa fom maalum pale chuoni nijaze nakuipeleka tcu. Ajabu ni kwamba mkopo umetoka tofauti kabisa. Mkopo uko...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
msaada
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imetangaza matokeo ya awamu ya kwanza kwa wanafunzi waliomba mikopo kupitia bodi hiyo.(Means testing)first batch 2010/2011 kwa baadhi ya vyuo zaidi tembelea...
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Naomba mniangalie mkopo s1709/0037/2010 mungu awabariki.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kutoka jikoni ni kwamba majina ya wanafunzi walio apply vyuo vya uuguzi yangetakiwa kutoka leo lakini kutokana na tatizo la mtandao wameshindwa kuyaweka kwa hiyo majina hayo yatawekwa website ya...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
sijui ni mm tu au kuna na wenzangu
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wakuu wanaoenda UDOM kuna mtu anaondoka na gari yake aina ya noah anahitaji watu 7 wamchangie mafuta aondoke nao tar 12/10/2013 asubuhi saa 2 ubungo. kila mtu amchangie 20,000. namba yake ya simu...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
napenda kufaham kuhusu kozi ya Mechanical Engineering wanayotoa NIT ipo fiti kama za DIT,MIST au ST.joseph ,pia ina maslahi mazuri katika sekta zipi? msaada wenu wana jukwaa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Iv mikopo itatolewa lin mana wanfunzi wako vyuoni wanaaso
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau msaada wa admission letter nataka kwenda kuahirisha jkt mwenye nayo plz anisaidie:help::help::help::help::help:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna aliyeomba Fact ya Engineering akapata mkopo?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hv ukipewa 3.452.000 hapo udsm na unasoma education mgawanyo wa ada na acomodation unakuwaje!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani ningepata Walau Boom Yenyewe c ningejibeba na Ada ukizingatia nimepangiw IFM..coz ya Accountanc... Mungu saidia..
0 Reactions
3 Replies
981 Views
Back
Top Bottom