Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau mie nimekosa mkopo HESLB na Course ni Civil Engrng sasa nahitaji soma ila ndo hivo nisaidieni nichangie Tuisheni fii. kwa kununua ramani (Archtectural drawing) ya residential house yenye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Nacte imewadanganya wanafunzi wanaotegemea kujiunga na elimu ya chuo kikuu mwanzoni wanafunzi wenye diploma walipoanza kuapply kupitia Nacte walipewa matumaini ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
teku kuna medical examination kama vyuo vingine kama st.john,udom,mmu naombeni msaada
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani msaada kwa chuo cha C.O cha lugalo,je kuna uwezekano wa kupata nafasi? Namna ya kufanya? Msaada zaidi juu ya hilo maana hali yangu si nzuri
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa juu ya kozi ya aquaculture mwenye kunifafanulia zaidi na soko la ajira ntashukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Jamani naombeni kuwa shujaa wa kweli kudai haki yako nikiwa na maana unaweza kushindwa kusoma na vile vile hata rafiki yako akashindwa kwenda chuo sababu hana ada binafsi nimeliamulia hili swala...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Vijana tukutane palepale heslb saa 4,tuelekee wizaran taratibu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF, Mosi,nianza kwa kuwapongeza wote waliochaguliwa kujiunga na masomo ya elimu ya juu.Wale waliokosa msikate tamaa tuko pamoja nanyi na jaribuni tena na tena...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tukirudi nyuma wakati wa Mwl Nyerere elimu ilikuwa sawa kwa watu wote nikimaanisha wa mjini au kijijini, tajiri au mtoto wa mkulima. Hali hii iliwezesha wale wanaopata fursa ya kuendelea mbele...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi jaman direct cost ni shs. Ngapi kwa sisi wa 1 year.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wapendwa naomba mniangalizie mkopo pascal john matlmba na Nuru iddy
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kwa anayejua kuhusu upatikanaji wa admission letter kwa chuo cha NIT anijuze ili nami niipate
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku, Mwenye material ya kozi ya Procurement and logistic management semester ya kwanza na ya pili naomba aniPM.. natanguliza shukrani.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SO ISOME HII INAKUSU MOJAKWAMOJA USILETE MAPUUZA WAZI? IMPORTANT NOTICE TO ALL STUDENTS PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS: ALL UDOM STUDENTS (FIRST YEAR AND CONTINUING STUDENTS) ARE...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwa anaye faham direct cost ud naomba anijulishe......?????
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau naomba anayejua lolote kuhusu selection za tcu third round, nataka kujua kama wametoa majina ya waliochaguliwa Au anayeweza naomba aniangalizie, namba yangu ni s1529 /0037/2010
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Nilidakwa katika masomo kadhaa sasa nimeshafanua supp nasubiri matokeo, lakini naona mara hii hawa jamaa wameganda sana kutoa matokeo, mpaka ivi sasa sijaona ya kwangu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu. Nachukua fursa hii kuwaomba hawa matajiri wawili Tanzania na wengine,wawekeze kwenye elimu hasa kuwakopesha wanafunzi wasiojiweza ili nao waweze kusoma,Ni matumaini yangu wanaweza.
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimechaguliwa UDOM Nahitaji kupata msaada wa jinsi ya kubadili kutoka course moja kwenda nyingine
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani eti ni kwel alama za ufaulu zimepanda kidato cha sita? na kama zimepanda basi naomben arrangement zake jins zilivyo.
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Back
Top Bottom