Guys mimi ni kijana ninaetaraji kumaliza chuo mwezi wa 11 katika fani ya electrical installation level 2,Sasa kuna barua tumepewa chuoni za volunteer,Msaada ninauomba hapa either mnitajie kampuni...
Mmenipeleka jkt wenyewe bila mimi kupenda na kunifundisha matumiz ya silaha zote...mmeninyima mkopo japokua vigezo vya kupewa mkopo nlkua navyo..plus na umasikini nlokuanao...kiukweli kwa hacra...
Habari zenu. Nimechaguliwa Mechanical Engineering udsm ila mkopo nimenyimwa,so naomba kujuzwa ukitaka kuahirisha mwaka utaratibu ukoje? na kama unajiripia fdh zote kwa mwaka ni tsh ngapi. Na wapi...
HIVI WAKUU SISI MWAKA WA KWANZA TUNATAKIWA TUANZE KUFUNGUA AKAUNTI YA CRDB KWAAJILI YA MKOPO KABLA HATUJAENDA CHUO AU TUTAFUNGULIA HUKOHUKO VYUONI?:A S-key:
Kati ya cozi tajwa hapo juu ni ipi unadhani inalipa zaidi ukiwa tanzania?kama vipi 2pia na salary yake kama unaijua ili kuwapa mzuka madogo zetu wasome sana [updated-boy]
wakuu... habari zenyu? ningependa kujua hasa kwa kina juu ya hawa ma member wenzetu.. oil sumu na mpigamsuli je ni watoto wa kike au vipi? kwa kweli nimekuwa sointerested sana na story zao...
Wana Jamvi,
Mie natatizika sana na elimu yetu hii ya Tanzania sidhani kama kweli ipo katika mustakabali wa kumuokoa mtoto / kijana wa Kitanzania kutoka katika ujinga.
Panaponitatiza ni hapa...
Heshima kwenu wana jf! husika na kichwa cha hbr, katika mizunguko yangu leo mchana nilikwenda na rafiki yangu shule ya st marys iliyopo eneo la mbezi beach DAR, na dhumuni la kwenda kule lilikuwa...
Mi nadhani hatuna malengo mazuri kwa taifa hili, walianza na kuwabeba wanawake, wakawekewa vigezo vya chini, mara wakawekewa viti maalum, mwisho wakasema wapewe uspika na wakapewa. Hawakuishia...
habar. Naomba kujuzwa kuhusu fee ya medical inalipwaje mana zipo mbil, ntajuaje mi nilipe ipi kati ya tsh 30000 na tsh 75000. Na sifa zao za ulipaji,pia hostel fee naweza nikalipa nusu au ni...
NI HIVI KUHUSU MALIPO.
Jinsi gani ya kulipia hela kule kwa sababu hawajatoa ufafanuzi, hivyo zote unalipia kwenye bank slip moja au unatenganisha? Ile pesa ya loan meals and accmodation inahusisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.