Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Natoa Pole kwa wote waliokosa Mkopo. Na pia nawashauri yafuatayo.-; 1. Kwa wale tusioenda JKT ni muda muafaka kuvutia kasi yakuomba upya mwakani 2. Usikae tu nyumbani bila shughuli watakuona...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba kueleweshwa jinsi ya kukokotoa % za mkopo.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Najua watu wengi mtanichukulia vibaya, kutokana na observation nliyofanya katika muda nliokuepo shuleni, nimeona kua hiki kipindi cha dini kinachokuepo kila ijumaa asubuhi hakifai kabisa kuepo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
kwa mara ya kwanza ccm imenifurahisha kwan nimelamba mkopo wa maana,ingawa kura yangu itokwenda ccm 2015,pole sana ziende kwa walioonewa,,Mungu yuko nanyi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
mimi jamani nimekosa mkopo na niliomba kusoma education SAUT-MBEYA CAMPUS NIKIZANI HUKO NITAPEWA MKOPO LAKINI MAMBO YAMEBADILIKA NA KWA CHUO TENA NDIO BASI SINA MBINU NYINGINE NAOMBA KAMA KUNA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna yeyote anaefahamu kama loan board wanatoa majina second batch. masaada tafadhali
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimejarbu kuingia kwe heslb na kuingiza index number lakin naandikiwa FRESHERS' LOAN ALLOCATIONS FOR ACADEMIC YEAR 13/14
0 Reactions
0 Replies
1K Views
walio kosa mkopo kutoka heslb poleni sana ila sio mwisho wa kusoma angalizo langu ni hii taasisi wanajiita hlssf huwa wanajifanya loan board ndogo ya tanzania hawa watu ni wababaishaji mwaka wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
..majanga haya lakini bora nimejua mapema.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu great thinkers mko poa...naomba anayefahamu kama kuna uwezekano wa kubadili course UDOM anifahamishe tafadhali (kuhama kutoka course moja kwenda nyingine) thanks.. Sent from me
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mimi nashangaa lawama kibao kwa "WALIMU" Mbona mikoa isiyo na Chakula Maafisa KILIMO hawalaumiwi?Mbona RUSHWA imekithiri TAKUKURU hawalaumiwi? Wagonjwa kibao hufariki daily lakini MADAKTARI...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
naombeni mnisaidie hivi izo loan allocations ni kwa form six tu au na wale diploma holders pia wamepata, manake mi na marafiki zangu tu ni diploma holders tumeomba priority courses na bado tumekosa..
0 Reactions
1 Replies
954 Views
salamu wakubwa!!! aiseee,, walimu ni walezi wetu kwa upande mmoja ama mwingine, lakini wakati mwingine wanaboa kwa kauli zao! hebu tujikumbushe kidogo kauli za walimu wetu (ziwe njema ama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani mwaka huu mbona bodi ya mkopo imerudi nyuma kiasi hicho? sawa mmebana pande zote basi mwanafunzi akaona bora akimbilie ualimu labda atapata mkopo lakini cha ajabu mmemnyima pia ilhali...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukiangalia namba yako heslb ukaona ujumbe hapo chini INA MAANA GANI? The student with Index number 'S****.****.2008' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
cjaela k2 khx mchanganuo. Hv mfano jordan ada ni milion 1.thn unakuta kwny ada bord wamekupa 1,112,000.je ina maanisha nn hyo..
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Je na wao wanaangalia kama freshners au wametengewa kivyao? msaada tafadhali..natanguliza samahani kwa usumbufu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana JF. Napenda kufahamishwa mwisho wa kupeleka barua za kubadilishana vituo mkoani kwa uhamisho wa walimu mwezi wa Disemba ni lini?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
waungwana naombeni msaada wenu nijue nimepata asi;imia ngapi.
0 Reactions
7 Replies
11K Views
INDEX NO S0471/0152/2005,Naomba mniangalizie cim yangu chaji imeisha nimeweka line kwa mtu naomba mnijuze kwa no 0783569290 kwa sms.Nawategemea wanajf.ahsanten
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…