huyu jamaa ana kampuni zake zaid ya mia nne huko uk.soma historia yake kupitia wikipedia.com richard bramson.
Virgin Group Ltd. is a British
multinational branded venture
capital...
jamani wanaJF tupeane taratibu kwa wale wa Mzumbe process za kuzifuata now kwa admission,sababu me nimerudi jeshi juzi sifahau chochote kuhusu admission letter, joining, mba,hostel na payment za...
oi guyz hayo majina ya wanafunzi walionyimwa mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea na muhula wao wa masomo mbona siyaoni naombeni mkiyapata na mm mnijulishe.
Habari zenu wakuu,
naomba mwenye taarifa za lini muhimbili watatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na diploma mbalimbali anijuze coz mdogo wangu kaomba pale na majina hayajatoka wakati first...
wanajamvi naomba kwa yeyote yule mwenye link inayoonyesha majina ya walioapply mkopo mwaka 2013/2014 na kuambiwa warudie kuapply upyaa, plz nawasilishaa
kama nilivyosema tar ya kuripoti udom ni 12/10/2013; ukiingia kwenye web yao utaona gharama zote! Imeandikwa special to all students chini kabsa! Im done!
SIMU ILIVYOPOKELEWA NIKAJIKUTA NIMESAHAU NATAKA KUULIZA NINIMawasiliano na
Jeshi la Kujenga Taifa
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694, Dar es salaam
Simu:+255-22-2780588/2780712...
Habari zenu wandugu
"DOOM HAINA MSHINDO"
--Moja kwa moja kwenye maada husika, unajua katika hi nchi kuna watu wapo kwajili ya kuwapotezea wenzao muda kutokana na kutoka kuwajibika kwao, hebu...
hahahahaha... hiyo ni tetesi tuu... sasa kama wewe unaropoka shauri yako.. miaka michache ijayo ndo itakua hivyo.. sasa wale wanao kimbia jkt kwa nafasi ya kuchaguliwa.. watarudi kwa kuililia tena...