Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kiukweli serikali yetu ni mbovu sana ina mana imeshindwa kabisa kujua kua izi sector mbili zinaingiliana kiutendaji wa kazi yani kila sector ina ratiba yake na zinaingiliana. Aya jkt wanataka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Rafiki yangu karudishwa kutoka jeshini, kisa ana kilema, kilema chenyewe ni kuwa ana pengo, jino moja la mbele halipo, yeye anaseme alijitetea sana kwa kusema siyo pengo ila ni mwanya tu, kiukweli...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Sikia kilio chetu sisi vijana wako wasikivu,japokuwa jeshi amri ni moja..lakini hata AZ WEAH AWAMU YA TATU,ITUMIKE PLZ!..sisi vijana wa 1st year 2013/14...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ndugu wana jf kuna hii kozi mpya ya interior design imeanzishwa ardhi university.. Soko lake la ajira limekaaje kwa hapa Tz.? Msaada tafadhali kwa mtu mwenye uelewa juu ya hiyo kozi maana kuna...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kiukweli JKT wametufanya sisi wapuuzi na wajinga, maana wamengojea watu tayari wameshaingia vyuoni na wengine ndo wanajiaanda kwenda halafu wanakuja na habari za JKT halafu hakuna barua...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamani its too much.. Mwaka huu Form 6 hatuelewi serikali na tcu kabisaaaa. Kwanza sielewi inaamanisha nini kwa Jeshi kutaka tuanze kusoma vyuo January wakati TCU wameshatangaza ni kati ya mwezi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ina maana serikali imelifumbia macho halijaliona hili la kutolewa majina ya f6 kwenda jkt wakati baadhi walishapa kiasi vyuoni?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu ni mda unakwenda tu hakuna replay yeyote kutoka MOH na ukifuatilia tunazidi tu kutiana moyo tu wa tetesi kila siku . Hivi kwenye application form si walisema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
salam kwenu! naomba mwenye taarifa sahihi/zenye ukweli atuwekee hapa kwani tetes zimekuwa nyingi mno mala mwezi wa 9,umeisha mala wa 12 na wengine wa 2 mwakani, sisi tunaozisubir kiukweli...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
(Bachelor of Arts in environmental Disaster Management) Napenda sana hii course!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wanajamvi kuna tetesi majina ya wanaotakiwa kujiunga jkt awamu ya tatu yametoka. nita yapata wapi? kama kunamtu anaweza naomba ayaweke hapa. pia utaratibu wa kujiunga chuo utakuaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mwenye uelewa zaidi ya hii taasisi... Umuhimu wake ni nini? Kwa elimu ya tanzania. Je ina mapungufu gani? Lets share.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mwaka wa kwanza wote ambao mwaka huu wataitwa 'Tindikali' kama sisi tulivyoitwa 'Tsunami' mwaka 2005,wanaweza kuniuliza jambo lolote kuhusu UDSM ilimradi tu liwe la kumjenga na kumuimarisha...
2 Reactions
55 Replies
7K Views
Kwa hali hii wewe unaitathmini vp?...je serikali ya jk imeshndwa au jeshi linanguvu? For mor info visit..udom website..!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa hali hii wewe unaitathmini vp?...je serikali ya jk imeshndwa au jeshi linanguvu? For mor info visit..udom website..!updated-boy!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa wale wa NIT ada na kila kitu mule xo mnaeza mkachek kwa page yao!! blcd sunday
0 Reactions
8 Replies
8K Views
"majibu tutatoa leo jioni" Hii ndio kauli ya mtu wa reception wa tcu kwa siku nne sasa, kesho najipanga mapema saa kumi na moja jioni kuulizia post za transfer applicant sijui yule mama atanipa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wakati vitu vinaenda kombo na majina kujiunga jkt yanatangazwa tunajiuliza waziri wa elimu anafanya nini mbona kimya ndio kusema haoni kinacho endelea? mikopo watucheleweshee now jkt? waziri kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kiukweli hawa jamaa wa jkt wameniboa balaa coz mi tayar nipo chuo mtwara ndan ya stella maris afu leo wao wanasema eti jkt....sijajua saaana kuwa itakuwaje ila mbele kwa mbele itakavyokuwa wacha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…