ndugu zangu kwa hili jambo(intake ya 3 jkt) me naona serikali imebugi tena sanaaaa wajipange maana haiingi akilini inamaana kama wakienda jkt je vyuo vitafungwa kwa first year? Na wale ambao...
Wakubwa, lengo kubwa ya website / community hii ya Wazumbe wote ini kuongeza ushirikiano kati yetu pia kujadiliana jinsi ya kuchangia / kuiendeleze Shule yetu. (Mzumbe Secondary School). Kama...
Ndugu wana JF. Kwanza pokeeni salamu zangu. Napenda kuwauliza endapo mwalimu wa shule ya sekondari amezushiwa uongo na mkuu wa shule kwamba anawakusanya wanafunzi na kuwachochea ili wafanye fujo...
Hapa nilipo sijielewi elewi hatima yangu kwenda chuo kutokana na ucheleweshaji wa majibu tuliomba kuhama chuo kwani sijui mambo yakoje tcu na chuo nilichohama kinakaribia kumaliza mwezi tangu...
wanaojua naomba mnijuze kuhusu hii degree ya official statistics inayotolewa pale EASTERN AFRICA STATISTICAL TRAINING CENTRE,soko lake la ajira na mengineyo mnayoyafahamu,
habari wapendwa
naombeni mnisaidie hili nijue watu walioomba kubadilishwa vyuo na TCU, TAYARI?? Maana nilipangiwa chuo filani na nikaomba wanibadilishe lakini sijajua kama wameshabadilisha..
asanteni
Jaman wadau msaada ukiangalia option ya tcu kwenye selection ukiweka index no na jina unaon umechaguliwa wap! Lakn haya majina yametumwa vyuon au? Maana vyuo vingi yapo ya 1st na 2nd basi kwenye...
wAKUU heshima kwenu....
JUzi ilifanyika mitihani ya kwa wanafunzi wa mwaka 5 udaktari, baada ya kusahihishwa wanafunzi wote walioonekana kufaulu tena kwa wastani mkubwa, jambo ambalo lilimfanya...
I am starting this thread so everybody could bring links, websites, videos etc zitakazotoa mafunzo. Naanza na hii ya Luis Farrakhan:
Why Is Farrakhan Hated Without A Cause? (Q and A) - YouTube
Jamani wana jamvi wenzangu la elimu nilikuwa naomba kwa yeyote anayefahamu website ambayo nnaweza kushusha vitabu bure bila malipo anisaidie.. vitabu vya masomo ya science lakn kwa A-Level maana...
Wahitimu wa shahada ambao wamesoma coz moja masomo yanayofanana wote chuo kimoja wote wamejaza form za kuomba ajira wizara ya elimu ajira zimetoka baadhi wameajiriwa wengine wanaachwa wanaenda...
Kwenye website ya chuo cha ardhi kuna link ya kushusha barua hizo, na ukiclick link za barua za program nyingine zinaachia mzigo na unadownload lakini mimi ambaye shida yangu ni kushusha adm...