Mpaka sasa idadi kubwa ya first year hawajaenda kuripoti kwenye vyuo vilivyoanza usajili kutokana na kutojua hatma yao ya kupata mkopo, hivyo tunaomba bodi mjipange mapema kwa kutoa majina ili...
Baada ya kipindi cha hofu nyingi hatimae sasa nimepumua.UKWELI ni kwamba niliugua sana kipindi najiandaa na mtihani wa form six.kutokana na hali hii matokeo yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata...
Mada juu ya jieleza, Walimu wakenya waliweza kugoma hadi serikali yao ikatii sheria kwa shuruti.Ikatekeleza Madai yao baada ya mgomo wa wiki mbili na ushee.Sasa tunaona mwendo mdundo huko Uganda...
Poleni kwa kazi na mjukumu mengine ya kila siku wakuu,
Sio mwenyeji sana wa morogoro manispaa na nimehamishiwa hapa kikazi,
lengo langu ni kufahamu kama kuna VITUO VILIVYOIDHINISHWA KWA MASOMO...
Hongereni kwa wale mliochaguliwa kujiunga na Chuo cha Usafirishaji (NIT). Kwa waliopangiwa kuja kusomea degree, ktk suala la malazi inabidi mfaham hostel za chuo huwa wanapewa kipaumbele wanafunzi...
Hivi karibuni Serikali imetangaza mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, moja ya Wizara inayohusishwa na mpango huo ni Wizara ya Elimu.Tumeshuhudia takribani viongozi -REOs- wa mikoa kama nane wakila...
Jamani ndugu zangu nimefika mwisho sasa kama kuna anayejua wapi huwa wanatoa udhamini wa masomo naomba anisaidie. Mimi ni mwanachuo wa chuo cha waganga.
Hungry techies everywhere from Nigeria to Ghana, Kenya and South Africa are building web-based companies providing simple solutions for some of our most daunting challenges and inconveniences...
Bodi ya mikopo imetoa majina ya wanafunzi wa udsm ambao hawakuupdate mikopo yao.. so kama ww ni mwanafunzi wa udsm kutoka CASS wasiliana na mwenyekiti wa CASS kwa info zaidi...
Hello jf!!wanafunzi 27 wa mwaka wa pili ktk college ya uhandisi{udsm} wanaochukua bsc in civil engineering wamedisco,na wengne wengi wanaochuka uhandisi wa fani nyingne nao wamedisco!!swali,ni...
habari zenu...samahani nina rafiki yangu amesoma certificate then diploma na sasa hivi angetakiwa awe anaingia degree tatizo ni matokeo yao ya chuo alichokuwa anasoma ya diploma yamechelewa kutoka...
Msaada wana jamvi,naomba nifahamishwe hii kozi Bachelor of education in special needs ajira zake unafanya kazi wapi? na je,uhakika wa ajira upo? Pia nahitaji taarifa za field huwa wanafanyia wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.