Jamani,wanafunzi wengi nimegundua wanaota kuubeba ulimwengu kwa fani na vyuo walivyochaguliwa huo ni ujinga hakika,nitakupa mfano:waajiliwa wengi serikalini hawajasoma kwenye vyuo hvyo mnavyoviita...
wakuu naskia pale lugalo military supermaket wanauza vitu bei rahisi,sasa mwenye kujua anijuze kama naweza pata laptop pale kama ni bei raisi.kuhusu kitambulisho .cha jesh haina shida.
Wale wa muhas. matokeo ya wliopata degree, diploma na advanced diploma tayari kwenye mtandao.http://www.muchs.ac.tz/Advertisements/Admissions/Candidates_Selected_Undergraduate2013_2014.pdf
wizara ya elimu na mafunzo ya ufund imetoa majina ya second selection ya ualimu kwa ngaz ya diploma na grade A.kama una ndugu rafk na jamaa waliokuwa wanasubir hilo wataarifu mzigo uko tayar...
Kwa wanaaru na yeyote mwenye uelewa kuhusiana na swala la medical capitation fee inakuwaje kwa wale tunaotumia bima za taifa tunapaswa kuilipia hiyo fee au 2tatumia bima zetu za nhif moja kwa...
Jamani baadhi ya vyuo wameshafungua na vingine vinaendelea kufunguliwa wanafunzi wengi wanashindwa kuenda chuoni kufanya registration kwasabu wanahofu kukosa mkopo ambao utawawezesha kuendelea na...
Ninasoma B of Public Administration with record and Archivies Management BPA-RAM Kutokana na Masomo ninayosoma na kwa level niliyofikia nahitajika Kufanya reseach na kuandikia riport...
Ni kwamba bodi walikuwa wanaxubil majina ya walioomba kuhama vyuo,kwa hyo kwa kuwa wamemaliza kazi yao baada deadline kufikiwa,BODI WAMEXEMA MDA WOWOTE WATATOA MAJINA YA WALIOPATA MKOPO...
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe...
Hello young intellectuals..
As the topic concerns...the Sweatest victory is the one that is the most difficult,the one that requires you to reach down-deep inside to fight with evertthing you've...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.