Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kujua kazi zake ni zipi hasa,..nitashukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Vp majib yake et wanajamvi?any updates..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau samahanin,mm nlifanya transfer ile ya tcu(3rd round)..nliapply bachelor of technology in horticulture-St Joseph College Of Agricultural Sciences and Technology,Songea..kwa mwenye updates...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila kitukipo wazi kwa wasioweza kuyapata kwa website basi sasa yapo hapa jionee mwenyewe 1. Majina ya waliokosa mkopo2013/14 2. Majina ya waliopata mkopo 2013/14 3. Waliochaguliwa 2013/14
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa mujibu wa tafiti za kisayansi Sehemu kubwa ya dunia imefunikwa na maji (bahari) huku sehemu ndogo iliyobaki ikiwa nchi kavu.. jua (sun), limeumba kwa mchanganyiko wa gesi mbambali...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Eti wakuu . .kati ya hizi mbili bcom of finance ya udom na a/c ya vyuo vingine vya bussines. Kip bora
0 Reactions
2 Replies
3K Views
udsm might truely be the home of intellectuals but not at all the centre of excellence!!!!.... from CoET...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tembelea Website Yao Ya www.nit.ac.tz
0 Reactions
17 Replies
4K Views
WANACHUO WA ARDHI UNIVERSITY Jipatie updates za mabadiliko ya tarehe za supplimentary, orientation na kuanza masomo kwa mwaka wa masomo 2013/14
0 Reactions
0 Replies
888 Views
  • Closed
St. Augustine University of Tanzania is the best university in town, the best university inTanzania and the best university in the world at large you are luck to be here "We are Building The...
0 Reactions
138 Replies
8K Views
Nakumbuka nipokuwa nasoma advance kila mtu alikuwa anasema kombi anayosoma ni ngumu na ni bora kuliko kombi zingne na inatoa sana kimaisha .Haya mm sikatai kuwa kila kitu ni kigumu na kinatoa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Join instruction zao zimetoka? Tupeane update wadau.kama tayari naombeni muattach hapa tafaadhali.
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Hatimae udsm wametoa majina tar 19th sep 2013 ya wanafunzi waliomba kuhama vyuo 2013/14,for more info:visit udsm.ac.tz or mcheck [updated-boy]"0768260834"!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
eti registration form na medical examination form za udom nitazipataje?????????
0 Reactions
4 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
341 Views
TCU wanatoa majina ya transfer na batch za loanboard zinatoka before sept 23.hizi ni habari za kweli wadogo zangu wa first year. source;INAAMINIKA
1 Reactions
55 Replies
7K Views
wadau mimi nimeomba chuo muhas kwa kutumia diploma mpaka sasa naona kimya .mwenye tetesi jamani majina yatatoka lini na first year wanafungua linii?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman wanajf naomba msaada wenu,ni vyuo vipi vinatoa diploma ya clinical medicine ambavyo bado kuna nafasi ya kujiunga kwa mwaka wa masomo 2013/2014.naomba mnisaidie.asanteni
0 Reactions
10 Replies
3K Views
inasikitisha binti wa kidato cha pili kabakwa na wanafunzi wa tano kidato cha nne...huku wanafunzi hao wameendelea kuwepo shuleni bila kuchukuliwa hatua...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Ndugu wana JF hususan walimu, napenda kufahamu malipo anayopaswa kupewa mwalimu aliyesimamia mitihani ya darasa la saba mwaka huu baada ya kuteuliwa kuwa msimamizi mkuu na msimamizi wa kawaida...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom