Katika rasimu ya katiba mpya inayopendekeza muundo wa serikali tatu kwa kuwa na " SHIRIKISHO " la bara na visiwani kwa kumaanisha kwamba Muungano wetu utaendelea kuwepo mimi naona si...
polen na majukumu wanajamvi, ninaomba mtu yeyote anaefahamu kuhusu credit transfer anisaidie kunipa msaada maana mwenzenu nimechanganyikiwa hapa nilipo nimekuwa discontinue kweny chuo fulan kwa...
nina mdogo wangu wa kike amemaliza form 6 PCB mwaka huu kakini amefeli(hakupata kitu),lakini form four ana pass zote ie div 2..mzee ameamua ajitutumue anataka kumpeleka malaysia,lakini ndoto zake...
Habari Zenu Wakuu. Naomba kujuzwa Heslb hua inachukua Maamuzi gani endapo mtu atabadili facult akiwa chuoni? Hasa linapokuja suala lakutoka Priority kozi kwenda Non-Priority Kozi, au kinyume cha...
Nina mdogo wangu o'level alipata passes 2 tu na miswaki ya kutosha,nikaamua kumpeleka certificate pale magogoni kisha nikamuunganishia dilpoma kafaulu vizuri ana upper second.Sasa nataka asome...
wadau mimi ndo naingia 2 year, nahitaji mtu wa kunibeba au kama ---- mdau anafaham jinsi gani ntapata room hata ya kununua mimi nko tayari kwa hilo.
kwa yoyote mwenye mssaada ani PM.
Natanguliza...
I salute you comrades, brother and Sisters
Just a request, i am joining medical school this coming October in one of the Universities, may you help me what strategies to master Clinical...
habari zenu wanajamii wenzangu,jamani nilifanya mtihani mara mbili olevel(moja nilireseat) sasa wakati najaza TCU ile username niliweka exam number kile cheti nilichoreseat P0309 na baadae nikaadd...
Engineer wa Tanzania ni hasara sana, yani baada ya kumaliza masomo yao na kufanikiwa kupata kazi, wao hubweteka huko makazini na hakuna maendeleo yoyote ki ujuzi wanayo jiendeleza, kinachobaki...
Wadau wenyewe uelewa hivi kuajiriwa serikalini na sekta binafsi wapi kuna maslahi zaidi..na ukishastaafu kama unafanya sekta binafsi kuna kiinua mgongo au hupati kitu..
nin hatima ya ILBORU wadau katka jamv hil 2najua kuwa ilboru ni moja kat ya shule bora za serikal iliyokuwa ikifanya vzuri na kuongoza kitaifa na kutoa wanafunz waliokuwa wakiongoza kipind cha...
Haya ni baadhi ya matukio ambayo wanafunzi huwa
wanayafurahia vyuoni: 1. Ile assignment haitakusanywa leo. 2. Lecturer kasafiri, kipindi hakuna had atakapo rudi. 3. Hiyo kazi mfanye kwa group...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.