Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Dah..! heslb inatuweka mjini wanafunzi wengi... For first year karibun mtest utamu wa boom but likikata ni nouma xanaa ucpime..!..Dah finalists wenzagu 2jipange coz hili ndo boom la mwishooo.......!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau anaejua kuhusu mazingira ya st john tawi la st mark hapa dar re salaam. Vipi ina hostel kwa watu wote? Au kama haina vipi kuna maeneo jirani na pale chuon wanatoa huduma za hostel? Msaada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni kujuzwa je zimetoka?msaada tafadhari kwa anaejua
0 Reactions
9 Replies
3K Views
heading inajieleza wasomi wengi hapa tz wanaishia kufanya starehe na pesa zetu kupitia mkopo hali kadhalika wakihitimu huishia kuzunguka kwani hawana ujuzi bali vyeti mkononi namaeno mengi ilihali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani wanajamvi kuna mtu yeyote mwenye tarifa sahihi kuhusu heslb maana nakumbuka nshasoma uzi ulioandikwa siku za nyuma ukidai majina yatatoka tarehe 16. sasa kama kuna mtu mwenye taarifa sahihi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa ufupi tu wizara ya afya wangejiuzulu hakuna kitu wanafanya na wakiyaweka watatoa wiki 2 lyf lenyewe gumu hili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jkt
Wadau mwenye info kuhusu waliopo jkt wanarudi lini? Na kuna vyuo vimeshafungua kama mwenge
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jaman naomba mawazo yenu kati ya diploma ya phamarcy na clinical officer ipi nzuri.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Jama kwa anayekijua chuo hiki,vp ni kizur katika swala zima la kitaaluma na gharama zake pia
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Kuna mjadala mkali sana umekuwa ukiendelea kuhusu elimu ya juu nchini kuwa shahada ya kwanza ya vyuo fulani ni ya maana kuliko shahada ya chuo kingine hili siwezi kupingana nalo kwani linahitaji...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nipo mbele yenu kwa ajili ya kusaidiwa taarifa kuhusu kozi za ATEC I&II za NBAA. Nina bwana mdogo anahitaji kufanya hii mitihani kwa hiyo ninachoomba kufahamu/kujuzwa wakuu ni...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndg wapandwa nimeona nilite hii mada tuijadili mana mimi binafsi sielewi hatma ya elimu yetu mana yamezuka madudu mengi(1) kujengwa shule za kata zisizo na walimu wala vitabu, (2) gharama kubwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni juzi nimetoka kuichukua result slip yangu ya form 6 lakini imepotea katika mazingira ya kutatanisha.....je uko chuo itakuaje...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
  • Closed
Jamani, lini bodi wataweka wazi majina?
0 Reactions
32 Replies
5K Views
wale waliokuwa na hamu ya kuona supp zao waingia hapa kuona majina yao http://udom.ac.tz note ni wale wa COES...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
TAIFA LA KUIGA MAMBO BILA KUTAFAKARI. Tumeanza mitihani ya multiple choice kwa shule za misingi kwa madai ya waziri kuwa wamejifunza kwa nchi za wenzetu,. je alitafanya tadhimini ya watu wa taifa...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Naombeni kuuliza vipi kuhusu INDUSTRIAL ENGINERING market yake,na msuli wake ,Naomben msaada wadau WA CHUO CHA TAIFA
0 Reactions
57 Replies
4K Views
napenda kuuliza wale wa udsm wenzangu eti fomu tunaenda kuchukua chuoni au kwenye mtandao?na jee ni tarehe ngap tunaenda kuzifuata?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika DVD hii, Robert Kiyosaki ,mwandishi wa kimataifa wa Rich Dad Poor Dad anazungumza kuhusu jinsi matajiri wanavyotumia biashara ya kujenga utajiri. Baadhi ya pointi za Kujifunza kutoka hii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom