Jamani wana jf naomba kuuliza hivi mtu aliyemaliza kozi hyo ya clinical assistant anaweza kusoma degree ya medical administration au management? Maana nasikia kwamba sifa ni "any medical related...
Mahsusi kwa Orest Kawawu, Merry Edward na Salum Mkambala.
Binafsi naomba niseme kuwa kwa kipindi kirefu nimekuwa mdau wenu sana katikakusikiliza kipindi hicho, ila katika siku za hivi karibuni...
Eti wkubwa naombeni kufaham tarehe y kuripot st joseph songea maana joining instruction waloni2mia siielewi vle, coz wamenambia nimechaguliwa bachela of technolgy in agriculture ila wameandika n...
Ningependa kupata list ya vyuo vilivyosajiliwa na NACTE vinavyotoa certificates na diploma za Journalism/Mass communication katika jiji la mwanza. Ntashukuru kwa taarifa
It is amazing what stress can do to you. Yes stress, it has both negative and positive impact on the human body and mind. Stress forces you to be creative and see things in a whole new perspective...
Hbr zenu wakubwa?
Nimemaliza form 4 mwk jana nimepata
4-30
yaani nimepata
B/Keepng =D
Commerce =D
Biology =D
Math =C
Nilienda kutafuta kituo kw ajili ya kurudia...
Salaam wana JF..
Wakati napitia maelekezo ya msingi kwa 1st year students nimekutana na huu utata...
JOINING INSTRUCTION....
RESIDENCE
accomodation at all campuses is available on application at...
jamani nimemaliza diploma ya IT ya chuo cha IFM ila nilichelewa ku apply mwaka huu tcu mpaka nimekosa nafasi sasa kuna chuo huku mjini cha wahindi kinaitwa APTECH UNIVERSITY hiki chuo huwa...
Wazalendo
Chuo cha Ualimu Korogwe
S.L.P. 533, Korogwe
NDUGU Mhariri,
Sisi ni watumishi wazalendo katika Chuo cha Ualimu Korogwe, mkoani Tanga. Tunasikitishwa na uendeshaji mbovu wa chuo...
Kwa mnao2tangulia kwenye usahili Institute of Finance Management .'IFM'.mtujuze hasa ni nini kinahitajika wakati huu wa usahili Tafadhali..
Nawasilisha Wakuu..
wakuu natafuta mfadhili wa kugharimia masomo ya shahada ya pili(Masters). Mdogo wangu kamaliza shahada ya kwanza nami sina uwezo wa kugharimia hayo masomo ya ngazi hiyo. Ahsanteni!
Kwa wale wote ambao mnakuja sua mmechaguliwa chuo bora kabisa hapa tanzania.but chondechonde wadogo zangu mkija msije mkajisahau coz hapa sua kitabu ni tight ukizingua fasta unaliwa kichwa.sua ni...
Leo ndani ya UDSM nikakutana na idadi kubwa ya wanafunzi. Idadi hii ilinipa mshawasha wakuuliza kulikoni! Kwani siku na tarehe yakufungua chuo bado. Kwa bahati nzuri nikakutana na baadhi ya wasomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.